Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Sinodi kwa Maaskofu wa Amazzonia

Papa Francisko ameitisha Sinodi ya Maaskofu wa Amazzonia kwa Mwaka 2019.

Papa Francisko ameitisha Sinodi ya Maaskofu wa Amazzonia kwa Mwaka 2019.

Ratiba elekezi ya hija ya kitume ya Papa Francisko nchini Perù, 2018

15/01/2018 13:43

Baba Mtakatifu akiwa nchini Perù anataka kuwatangazia watu Injili ya matumaini inayofumbatwa katika haki msingi za binadamu, utu na heshima ya binadamu aliyeumbwa kwa sura na mfano wa Mungu sanjari na utunzaji bora wa mazingira nyumba ya wote, changamoto endelevu!

Papa Francisko anasema hija yake ya kitume nchini Perù inapania kuimarisha familia ya Mungu katika umoja wa matumaini!

Papa Francisko anasema hija yake ya kitume nchini Perù inapania kuiimarisha familia ya Mungu nchini humo katika umoja wa matumaini.

Papa Francisko nchini Perù: cheche ya "Umoja wa matumaini" kwa wenyeji

12/01/2018 07:39

Hija ya kitume ya Baba Mtakatifu Francisko nchini Perù ni kutaka kuitia shime familia ya Mungu nchini humo kupambana na changamoto zake kwa mshikamano unaofumbatwa katika "Umoja wa matumaini": uchafuzi wa mazingira; rushwa na ufisadi ni kati ya saratani kubwa nchini Perù.

Papa Francisko: Vipaumbele vya Kanisa kwa Mwaka 2018: Utume kwa vijana na Injili ya familia!

Papa Francisko: Vipaumbele vya Kanisa kwa Mwaka 2018: Utume kwa vijana na Injili ya familia.

Papa Francisko vipaumbele vya Kanisa kwa Mwaka 2018: Vijana na Familia

12/01/2018 07:18

Baba Mtakatifu Francisko katika sera na mikakati yake ya shughuli za kichungaji kwa Mwaka 2018 anapenda kujielekeza zaidi katika utume wa Kanisa kwa vijana wa kizazi kipya ili kujenga utamaduni wa kuwasikiliza na kuwasindikiza katika maisha yao sanjari na ushuhuda wa Injili ya familia duniani.

Hija ya Kitume ya Papa Francisko nchini Perù ni chemchemi ya furaha na matumaini!

Hija ya Kitume ya Papa Francisko nchini Perù ni chemchemi ya furaha na matumaini!

Papa Francisko nchini Perù: chemchemi ya furaha na matumaini

04/01/2018 08:20

Kardinali Juan Luis Ciprian Thorne anasema, Hija ya Kitume ya Baba Mtakatifu Francisko nchini Perù ni chemchemi ya furaha na matumaini; ni changamoto na mwaliko wa kujenga na kudumisha umoja na mshikamano unaofumbatwa katika tunu msingi za maisha ya kiroho na kiutu kwa ajili ya mafao ya wengi!