Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

sinodi familia

Papa Francisko anawataka wanandoa kuwa ni mashuhuda wa Injili ya familia, chemchemi ya furaha kwa walimwengu.

Papa Francisko anawataka wanandoa kuwa ni mashuhuda na vyombo vya Injili ya familia chemchemi ya furaha kwa watu wa Mataifa.

Furaha ya upendo ndani ya familia ni dira na mwongozo wa familia

19/08/2017 15:51

Wosia wa Kitume wa Baba Mtakatiofu Francisko, Furaha ya upendo ndani ya familia ni dira na mwongozo wa maisha na utume wa familia nda ya Kanisa. Changamoto na mwaliko kwa waamini kuhakikisha kwamba, wanakuwa kweli ni vyombo na mashuhuda wa Injili ya familia duniani!

Familia bado ni sehemu ya Habari Njema ya Wokovu kwa walimwengu anasema Papa Francisko!

Familia bado ni sehemu ya Habari Njema ya Wokovu anasema Papa Francisko katika barua yake kwa Maaskofu Katoliki sehemu mbali mbali za dunia kama sehemu ya maandalizi ya Siku ya Tisa ya Familia Duniani, itakayoadhimishwa mwaka 2018 huko Dublin, nchini Ireland.

Iweni mashuhuda na vyombo vya Injili ya familia duniani!

20/04/2017 08:45

Baba Mtakatifu Francisko anaendelea kuwamasisha waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema kutambua kwamba, familia bado ni sehemu muhimu sana ya Habari Njema inayopaswa kutangazwa na kushuhudiwa ulimwenguni kwa kujikita katika tunu msingi za maisha ya kifamilia!