Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Singapore

Maskofu wa Korea watoa sala kwa ajili ya nchi yao katika kipindi cha kihistoria,

Maskofu wa Korea watoa sala kwa ajili ya nchi yao katika kipindi cha kihistoria,

Kanisa la Korea kusali Novena kwa nchi yao katika kipindi katika kihistoria!

12/06/2018 16:47

Baraza la Maaskofu nchini Korea wameandaa Novena kwa ajili ya nchi zote mbili, kuombea amani na mkutano wa mapatano, Ni kufuatia  fursa ya wakati huu ambayo nchi hizi mbili wanakabiliana katika kufungua ukurasa mpya wa kihistoria zaidi mkutano wa Trump na Kim, 12 Juni 2018 huko Singapore!

 

 

Askofu mkuu Marek Zalewski, ateuliwa kuwa Balozi mpya wa Vatican nchini Singapore na Vietnam.

Askofu mkuu Marek Zalewski, ateuliwa na Papa Francisko kuwa Balozi mpya wa Vatican nchini Singapore na Vietnam

Askofu mkuu Marek Zalewski ateuliwa kuwa Balozi Singapore na Vietnam

21/05/2018 16:01

Askofu mkuu Marek Zalewski alizaliwa kunako mwaka 1963, akapadrishwa mwaka 1989; mwaka 2014 akateuliwa na Papa Francisko kuwa Askofu mkuu na Balozi wa Vatican nchini Zimbabwe na kuwekwa wakfu, tarehe 31 Mei 2014. Papa Francisko amemteuwa tena kuwa Balozi Singapore na Vietnam.