Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Siku ya XXXIV ya Vijana Duniani, 2019: Panama

Kanisa Barani Afrika halina budi kujizatiti katika uinjilishaji mpya unaojikita kwenye ushuhuda wenye mvuto na mashiko!

Kanisa Barani Afrika halina budi kuwekeza katika mchakato wa uinjilishaji mpya unaojikita katika ushuhuda wenye mvuto na mashiko ili kuimarisha haki, amani na maridhiano kati ya watu!

AMECEA lindeni: Haki na Amani; Changamkieni Uinjilishaji mpya!

22/07/2018 14:58

Mababa wa AMECEA wametakiwa kuwekeza katika mchakato wa uinjilishaji mpya unaofumbatwa katika ushuhuda wenye mvuto na mashiko, ili kuhakikisha kwamba, kweli Kanisa linaendelea kuwa ni chombo na shuhuda wa misingi ya haki, amani na maridhiano kati ya watu Barani Afrika.

Mama Kanisa kwa Mwaka 2018-2019 anakazia: Utume wa Vijana na Maisha ya Ndoa na Familia.

Mama Kanisa kwa Mwaka 2018-2019 anakazia utume wa vijana na maisha ya ndoa na familia.

Vipaumbele vya Kanisa kwa Mwaka 2018-2019: Vijana na familia

21/07/2018 08:41

Mama Kanisa kanisa katika mwaka 2018-2019 anapenda kujielekeza zaidi katika utume kwa vijana, ili kujenga sanaa na utamaduni wa kuwasikiliza, kuwasindikiza na kuwaongoza vijana kufanya maamuzi mazito katika maisha. Pili ni utume wa maisha ya ndoa na familia, ili kutangaza Injili ya familia. 

Maandalizi ya Siku ya XXXIV Vijana Duniani Panama kwa mwaka 2019 yanazidi kupamba moto, wimbo umekamilika!

Maandalizi ya Siku ya XXXIV ya Vijana Duniani Panama kwa Mwaka 2019 yanaendelea kupamba moto, wimbo umekamilika.

Siku ya XXXIV ya Vijana Duniani, Panama 2019: Wimbo umekamilika!

10/07/2018 15:49

Maadhimisho ya Siku ya XXXIV ya Vijana Duniani kwa Mwaka 2019 nchini Panama yanaongozwa na kauli mbiu "Usiogope Mariamu, kwa maana umepata neema kwa Mungu". Baba Mtakatifu Francisko atashiriki kuanzia tarehe 23-27 Januari 2019. Maandalizi yanaendelea kushika kasi, wimbo umekamilika!

Papa Francisko kutembelea Panama kuanzia tarehe 23-27 Januari 2019 kwa ajili ya Maadhimisho ya Siku ya XXXIV ya Vijana Duniani.

Papa Francisko kutembelea Panama kuanzia tarehe 23.27 Januari 2019 ili kuhudhuria maadhimisho ya Siku ya XXXIV ya Vijana Duniani kwa Mwaka 2019.

Papa Francisko kushiriki Siku ya XXXIV ya Vijana Duniani 2019 Panama

10/07/2018 09:35

Baba Mtakatifu Francisko amekubali mwaliko kutoka kwa viongozi wa Serikali ya Panama pamoja na Baraza la Maaskofu Katoliki nchini Panama na kwamba, atakuwepo nchini humo kuanzia tarehe 23-27 Januari 2019 ili kushiriki kikamilifu katika maadhimisho ya Siku ya XXXIV ya Vijana Duniani kwa Mwaka 2019.

Papa Francisko anasema, utakatifu wa maisha daima unalipyaisha Kanisa.

Papa Francisko anasema, utakatifu wa maisha daima unalipyaisha Kanisa.

Papa Francisko: Utakatifu wa maisha unalipyaisha Kanisa!

12/05/2018 17:00

Baba Mtakatifu Francisko anasema, wakati huu Mama Kanisa anapoendelea na maandalizi ya maadhimisho ya Sinodi ya Maaskofu kwa ajili ya vijana, anawataka vijana kukumbataia na kuambaya utakatifu wa maisha kwani utakatifu ndio unaoliwezesha Kanisa kuendelea kuonekana kama kijana daima!