Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Siku ya Wahamiaji Duniani 2018

Changamoto ya wimbi kubwa la wakimbizi na wahamiaji inapaswa kushughulikiwa kwa ushirikiano, umoja na mshikamano unaoratibiwa na kanuni auni.

Changamoto ya wimbi kubwa la wakimbizi na wahamiaji inapaswa kushughulikiwa na Jumuiya ya Kimataifa kwa njia ya umoja na mshikamano unaoratibiwa na kanuni auni.

Wimbi kubwa la wakimbizi na wahamiaji na changamoto zake kimataifa!

20/06/2018 09:30

Wimbi kubwa la wakimbizi na wahamiaji linapaswa kushughulikiwa na Jumuiya ya Kimataifa jwa weledi, umoja, mshikamano na mafungamano yanayoratibiwa kwa njia ya kanuni auni! Kanisa linakazia umuhimu wa kuwapokea, kuwalinda, kuwathamini na kuwashirikisha katika uhalisia wa maisha ya jamii husika!

Shirikisho la Wanawake Waprotestanti Uswiss linawataka viongozi wa Jumuiya ya Kimataifa kutoa ulinzi na usalama zaidi kwa wanawake wakimbizi.

Shirikisho la Wanawake Waprotestanti nchini Uswiss, linawataka viongozi wa Jumuiya ya Kimataifa kutoa ulinzi, usalama na hifadhi zaidi kwa wanawake wakimbizi na wahamiaji.

Siku ya Wahamiaji Duniani 2018: Wanawake waibuka na waraka mzito!

19/06/2018 11:00

Makanisa mbali mbali nchini Uswiss, Jumapili tarehe 17 Juni 2018 yameadhimisha Siku ya Wahamiaji Duniani, ambayo kilele chake ni Jumatano tarehe 20 Juni. Shirikisho la Wanawake wa Kiprotestanti limeandika waraka unaotetea haki msingi za wanawake, utu na heshima yao wanapokuwa uhamishoni!

Papa Francisko kuhusu wakimbizi na wahamiaji anakazia: Kuwapokea, kuwalinda, kuwaendeleza na kuwahusisha katika uhalisia wa maisha ya jamii husika.

Papa Francisko kuhusu wakimbizi anakazia umuhimu wa kuwapokea, kuwalinda, kuwaendeleza na kuwahusisha katika uhalisia wa maisha ya jamii inayowahifadhi.

Ujumbe wa Papa Francisko: Siku ya Wakimbizi na Wahamiaji Duniani 2018

11/01/2018 07:04

Mama Kanisa anaadhimisha Siku ya Wakimbizi na Wahamiaji Duniani tarehe 14 Januari 2018. Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa siku hii anakazia kwa namna ya pekee umuhimu wa: kuwapokea, kuwalinda, kuwaendeleza na kuwahusisha wakimbizi na wahamiaji katika uhalisia wa maisha!