Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Siku ya Wafanyakazi Duniani, Mei Mosi

Siku kuu ya Wafanyakazi Duniani ni nafasi ya kukuza: uhuru, utu, heshima na ushiriki wa wafanyakazi katika kukuza na kudumisha vipaji vya ugunduzi.

Siku kuu ya Wafanyakazi Duniani ni fursa ya kukuza na kudumisha: uhuru, ushiriki na uhamasishaji wa vipaji vya ugunduzi kwa ajili ya ustawi na maendeleo ya wengi.

Siku kuu ya Wafanyakazi Duniani na changamoto zake kwa mwaka 2018

01/05/2018 13:36

Maadhimisho ya Siku kuu ya Wafanyakazi Duniani, kila mwaka ni fursa ya kukazia utu, heshima, haki msingi za binadamu, ustawi na maendeleo ya wote na kwamba kazi ni utimilifu wa utu na heshima ya binadamu. Kazi inasaidia kuboresha dunia ili iweze kuwa ni mahali bora zaidi pa kuishi. 

Katika kuadhimisha Sikukuu ya Wafanyakazi Mei Mosi 2018 Baraza la Maaskofu Italia wameandika waraka wao kuhusu hadhi ya mtu kuhusiana na kazi

Katika kuadhimisha Sikukuu ya Wafanyakazi Mei Mosi 2018 Baraza la Maaskofu Italia wameandika Ujumbe wao kuhusu hadhi ya mtu kuhusiana na kazi

Ujumbe wa Mei Mosi wa Baraza la Maaskofu Italia kuhusu hadhi ya Mtu!

12/04/2018 16:30

Hadhi ya mtu haiwezi kuwa na maana ya kubadilishwa kama fedha, badala yake ni kujumuishwa katika ule mzunguko wa umoja kwa upande wa haki na uwezo ambao ni suala nyeti la kila jamii.Ni uthibitisho kutoka katika Ujumbe wa Tume ya Maaskofu Italia kwa tukio la sikukuu ya Mei Mosi 2018