Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Siku ya Vijana Kitaifa

Nia ya Maombi ya sala kwa mwezi wa 12 ni kwa ajili ya wazee wasisahuliwe

Nia ya Maombi ya sala kwa mwezi wa 12 ni kwa ajili ya wazee wasisahuliwe

Nia ya Maombi ya sala kwa mwezi wa 12 ni kwa ajili ya wazee wasisahuliwe!

05/12/2017 15:50

Utunzaji wa wazee ni muhimu kwa kuendeleza elimu kwa kizazi endelevu.Ndiyo ujumbe mkuu wa Baba Mtakatifu Francisko kwa njia ya video akiwakilisha nia ya sala kwa mwezi wa kumi na mbli.Anasisitizia juu ya kutazama na kujifunza kutoka katika hekima ya mababu na nafasi iliyopo katika jumuiya.

 

Kuanzia tarehe 11 hadi 21 Agosti wanaume na wanawake 72 wa Chama cha Kitume cha Wakatekumeni wapya nchini Afrika ya Kusini wamefanya utume wakutangaza

Kuanzia tarehe 11 hadi 21 Agosti wanaume na wanawake 72 wa Chama cha Kitume cha Wakatekumeni wapya nchini Afrika ya Kusini wamefanya utume wa kutangaza Neno la Mungu

Afrika ya Kusini: Utume wa Kifranciskan wa Wakatekumeni wapya

28/08/2017 15:22

 Askofu Mkuu wa Jimbo la  Cape Afrika ya Kusini  Brislin ambaye ni Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kusini mwa Afrika(SACBC),amewabariki watu 72 wa Chama cha Kitume cha Wakatekumeni wapya kwenda katika nchi za Afrika ya kusini kutoa huduma ya kutangaza Ufalme wa mbingu.

 

 

Tarehe 3 hadi 10 Desemba 2017 huko Durban kutafanyika Siku ya Vijana ndogo kutoka Afrika Kusini,Botswana, Swaziland,Lesotho,Namibia,Malawi na Zimbabwe

Tarehe 3 hadi 10 Desemba 2017 huko Durban kutafanyika Siku ya Vijana ndogo kutoka Afrika ya Kusini, Botswana, Swaziland, Lesotho, Namibia,Malawi na Zimbabwe

Vijana Afrika ya Kusini waanza kujinoa kwa Siku ya Vijana Duniani!

16/08/2017 09:18

Siku ya Vijana ndogo nchini Afirika ya Kusini itaanza tarehe 3 hadi 10 Desemba 2017 huko Durban. Maandalizi ya kufanya Siku ya vijana ndogo ina lengo la kuwapata na kuwapelela vijana wengi washiriki siku ya Vijana duniani huko Panama 2019.Kwa kufanya hivyo ni kuwasaidia vijana wafanye uzoefu 

 

Katika eneo hili jukumu kubwa muhimu ni juu ya Chuo Kikuu Katoliki, ambacho kimekabidhiwa utume wa kuandaa vijana wenye kuwa na uwezo kiakili na roho

Katika eneo hili jukumu kubwa muhimu ni juu ya Chuo Kikuu Katoliki, ambacho kimekabidhiwa utume wa kuandaa vijana wenye kuwa na uwezo wa kukuza rasilimali zao kiakili, ukarimu wa moyo kwa nguvu ya Roho wa maisha yao kwenye njia ya maisha endelevu ya ubinadamu.

Vijana wanayo nia ya kukabiliana na changamoto

01/05/2017 07:56

Vijana wanayo shahuku ya nguvu ya kwamba wasibaki watazamaji, na hivyo Baba Mtakatifu anawaalika wasizuie kilio chao cha dhamiri, kitokacho ndani ya moyo kwasababu kijana hakubaliani na manyanyaso, wala ukosefu wa haki na utamaduni wa kubagua,na hata katika kukobea kwenye utandawazi 

 

Familia ya Mungu nchini Panama inawaalika vijana kutoka sehemu mbali mbali za dunia kushiriki kikamilifu katika Siku ya Vijana Duniani kwa Mwaka 2019.

Familia ya Mungu nchini Panama inawaalika vijana kutoka sehemu mbali mbali za dunia kushiriki kikamilifu katika maandalizi ya maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani kwa Mwaka 2019.

Maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani kutimua vumbi Jan. 22 - 27, 2019

23/01/2017 11:41

Familia ya Mungu nchini Panama inawaalika vijana kutoka sehemu mbali mbali za dunia kuanza kujiandaa kikamilifu kwa ajili ya kuhudhuria na kushiriki katika maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani itakayoadhimishwa kuanzia tareh 22 - 27 Januari 2019 kwa uwepo wa Khalifa wa Mtakatifu Petro!

Baraza la Maaskofu Katoliki Australia limnetangaza kwamba, 2018 ni Mwaka wa Vijana.

Baraza la Maaskofu Katoliki Australia limetangaza kwamba, mwaka 2018 ni Mwaka wa Vijana Kitaifa.

Nchini Australia 2018 ni Mwaka wa Vijana

28/11/2016 10:18

Mama kanisa anaendelea kuwekeza katika maisha na utume wa vijana sehemu mbali mbali za dunia ili kuwajengea uwezo wa kuwa ni vyombo na mashuhuda wa huruma, upendo, imani na amani inayobubujika kutoka kwa Kristo na Kanisa lake. Wanapaswa kuwa ni wadau wa Uinjilishaji mpya!

Yesu Kristo ni ufunuo wa sura ya Mungu inayojikita katika huduma ya upendo, sadaka na msamaha wa kweli!

Yesu Kristo ni ufunuo wa sura ya Mungu inayojikita katika huduma ya upendo, sadaka na msamaha wa kweli!

Yesu ni ufunuo wa sura ya huruma na upendo wa Mungu!

20/03/2016 08:28

Jumapili ya Matawi inawaingiza Wakristo katika maadhimisho ya Juma kuu ambamo Kanisa linafanya kumbu kumbu ya mateso, kifo na ufufuko wa Kristo! Kwa njia hii Yesu ameonesha huruma na upendo wa Mungu unaojikita katika sadaka binafsi, huduma makini ya upendo na msamaha wa kweli!