Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Siku ya vijana kijimbo

Pamoja na maandalizi ya Siku ya XXXIV ya Vijana huko Panama,pia inatanguliwa na mikutano muhimu ya maandalizi

Pamoja na maandalizi ya Siku ya XXXIV ya Vijana huko Panama,pia inatanguliwa na mikutano muhimu ya maandalizi

Sinodi ya Vijana 2018 ni kwa ajili ya kupyaisha uso wa Kanisa!

11/01/2018 16:27

Mwaka 2018 unawakilisha matukio muhimu kwa upande wa vijana duniani ikiwa ni Sinodi ya Maaskofu ya Vijana kwa mada ya Vijana,imani na mang’amuzi ya miito3 -28 Oktoba;Vijana wa Italia watakutana na Papa,11-12 Agosti;Mkutano kabla ya Sinodi,19-24 na 25 Machi Siku ya XXXIII Kijimbo ya Vijana!

 

Pamoja na maandalizi ya Siku ya XXXIV ya Vijana huko Panama:inatanguliwa na mikutano muhimu ya maandalizi

Pamoja na maandalizi ya Siku ya XXXIV ya Vijana huko Panama:inatanguliwa na mikutano muhimu ya maandalizi

Sinodi ya Vijana 2018 ni kwa ajili ya kupyaisha uso wa Kanisa !

11/01/2018 14:00

Mwaka 2018 unawakilisha matukio muhimu kwa upande wa vijana duniani ikiwa ni Sinodi ya Maaskofu ya Vijana kwa mada ya Vijana,imani na mang’amuzi ya miito 3-28 Oktoba;Vijana wa Italia watakutana na Papa,11-12 Agosti;Mkutano kabla ya Sinodi,19-24 na 25 Machi Siku ya XXXIII Kijimbo ya Vijana!

 

Jimbo kuu la Mwanza liko tayari kuwasikiliza, kusali na kuwasindikiza vijana katika hija ya maisha yao anasema Askofu mkuu Ruwaichi.

Jimbo kuu la Mwanza anasema Askofu mkuu Yuda Thaddeus Ruwaichi liko tayari kuwasikiliza, kuwasindikiza na kuwajengea vijana uwezo wa kupambana na mazingira yao kama sehemu ya utume wa vijana ndani ya Kanisa.

Askofu mkuu Ruwaichi: Utume wa Vijana Jimbo kuu la Mwanza

11/04/2017 10:46

Askofu mkuu Yuda Thaddeus Ruwaichi wa Jimbo kuu la Mwanza, Tanzania anasema, ili kweli vijana waweze kutambua na kushiriki kikamilifu katika maisha na utume wa Kanisa wanapaswa kujikita katika: Neno la Mungu; mashuhuda wa huruma ya Mungu; maisha ya sala na kuthubutu kusimamia ukweli!

anawaalika katika safari hii kuelekea Sinodi na Panama ili ifanyike kwa furaha  , kwa kufanya hivyo na matarajio bila ahofu,bila aibu ni ujasiri tu

anawaalika katika safari hii kuelekea Sinodi na Panama ili ifanyike kwa furaha , kwa kufanya hivyo na matarajio bila kuwa na hofu, bila aibu na kwa ujasiri

Tunahitaji vijana wanao kimbia kwa haraka mfano wa Mama Maria

09/04/2017 12:25

Baba Mtakatifu amesema ,Sinodi siyo ukumbi wa mazungumzo,Siku ya vijana haitakuwa ukumbi wa mazungumzo au ukumbi wa sanaa za michezo,au jambo zuri,na baadaye kwaheri ya kuonana, Siku ya vijana inahiji matendo halisi, Maisha yana taka tufanye matendo halisi ya wito wetu.

 

Baraza la Maaskofu Katoliki Mexico linatumia Juma kuu kwa ajili ya kuwafunda vijana tunu msingi za maisha ya kiroho, kiutu na kitamaduni!

Baraza la Maaskofu Katoliki Mexico linatumia maadhimisho ya Juma kuu kwa ajili ya kuwafunda vijana: kiroho, kiutu na kitamaduni.

Maadhimisho ya Juma kuu kwa Vijana wa Mexico

08/04/2017 15:05

Baraza la Maaskofu Katoliki Mexico kama sehemu ya Mapokeo yake, limekuwa likitumia maadhimisho ya Juma kuu kwa ajili ya kutembea, kuandamana na kuwafunda vijana wa kizazi kipya kuzingatia mambo msingi katika maisha yao, ili kuweza kupata ukomavu wa kiakili, kiutu na katika maisha ya kiroho!

Kanisa linataka kuandamana na vijana katika maisha yao, ili kuwasikiliza, kuwafunda na kuwajengea uwezo wa kufanya maamuzi magumu katika maisha!

Kanisa linataka kujenga na kuimarisha utamaduni wa kuandama, kuwasikiliza na kuwajengea vijana uwezo ili hatimaye, waweze kusimama kidete kufanya maamuzi magumu katika maisha yao.

Askofu Nyaisonga na changamoto za matumizi ya mitandao kwa vijana!

07/04/2017 07:06

Baba Mtakatifu Francisko kwa kuitisha Sinodi ya Maaskofu kwa ajili ya vijana anataka Kanisa kusindikizana na vijana katika maisha yao tayari kuwasikiliza, kuwafunda na kuwawezesha: kiroho, kiakili, kiutu na kimaadili, tayari kuwajibika katika maisha na utume wao kwa Kanisa na Jamii wa ujumla.

Kristo Yesu aliingia mjini Yerusalemu kama Masiha na Mfalme ili kutekeleza mpango wa Ukombozi wa mwanadamu kutoka katika dhambi na mauti.

Kristo Yesu aliingia mjini Yerusalemu akiwa amepdna Punda kielelezo cga unyenyekevu wa moyo; unyenyekevu utakaofikia kilele chake kwa mateso, kifo na ufufuko wa Yesu.

Yesu Bwana, Masiha na Mfalme ni kielelezo cha unyenyekevu hadi kifo!

06/04/2017 14:04

Jumapili ya Pasaka ni mwanzo wa maadhimisho ya Juma kuu ambamo Wakristo wanaadhimisho Mafumbo makuu ya Kanisa yaani: Mateso, kifo na ufufuko wa Kristo Yesu kutoka kwa wafu. Yesu anaingia Yerusalemu kama Masiha na Mfalme, ili kutimiza Unabii uliotolewa juu yake kwa Fumbo la Pasaka.

Mama Kanisa anataka kuwasikiliza, kuwafunda na kuwasindikiza vijana katika safari ya maisha yao, ili kuwajengea uwezo wa kufanya hata maamuzi mazito!

Mama Kanisa anataka kuwasikiliza, kuwafunda na kuwasindikiza vijana katika safari ya maisha yao, ili kweli waweze siku moja kuthubutu kutoa maamuzi magumu katika maisha yao!

Papa Francisko kuongoza mkesha wa Siku ya Vijana Kijimbo, 2017

06/04/2017 13:30

Mama Kanisa anaendelea kuimarisha utume wake kwa vijana kwa njia ya maadhimisho ya Siku ya Vijana Kijimbo, Kikanda na Kimataifa, ili kujenga utamaduni wa kuwasikiliza, kuwasindikiza na kuambatana na vijana katika safari ya maisha yao, kwa kuwajengea uwezo wa kufanya maamuzi mazito!