Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Siku ya Vijana Duniani 2019: Panama

Mama Kanisa kwa Mwaka 2018-2019 anakazia: Utume wa Vijana na Maisha ya Ndoa na Familia.

Mama Kanisa kwa Mwaka 2018-2019 anakazia utume wa vijana na maisha ya ndoa na familia.

Vipaumbele vya Kanisa kwa Mwaka 2018-2019: Vijana na familia

21/07/2018 08:41

Mama Kanisa kanisa katika mwaka 2018-2019 anapenda kujielekeza zaidi katika utume kwa vijana, ili kujenga sanaa na utamaduni wa kuwasikiliza, kuwasindikiza na kuwaongoza vijana kufanya maamuzi mazito katika maisha. Pili ni utume wa maisha ya ndoa na familia, ili kutangaza Injili ya familia. 

Maandalizi ya Siku ya XXXIV Vijana Duniani Panama kwa mwaka 2019 yanazidi kupamba moto, wimbo umekamilika!

Maandalizi ya Siku ya XXXIV ya Vijana Duniani Panama kwa Mwaka 2019 yanaendelea kupamba moto, wimbo umekamilika.

Siku ya XXXIV ya Vijana Duniani, Panama 2019: Wimbo umekamilika!

10/07/2018 15:49

Maadhimisho ya Siku ya XXXIV ya Vijana Duniani kwa Mwaka 2019 nchini Panama yanaongozwa na kauli mbiu "Usiogope Mariamu, kwa maana umepata neema kwa Mungu". Baba Mtakatifu Francisko atashiriki kuanzia tarehe 23-27 Januari 2019. Maandalizi yanaendelea kushika kasi, wimbo umekamilika!

Panama imejipanga tayari kuwapokea mahujaji 300,000 kwa Siku ya Vijana duniani 2019

Panama imejipanga tayari kuwapokea mahujaji 300,000 kwa Siku ya Vijana duniani 2019

Panama iko tayari kuwapokea mahujaji 300,000 toka pande za dunia !

19/06/2018 14:01

Wakati wa mkutano wa maandalizi ya Siku ya vijana huko Panama hivi karibuni wajumbe wa Baraza la maandalizi mahalia wa Siku ya Vijana Dunia na Baraza la Kanisa Katoliki,wamekutana na wawakililishi  kutoka mabara matano ili kushirikishana katika mchakato huo kwa tukio la 2019

 

 

Papa Francisko anawataka vijana wa Cuba kuwa wazalendo kwa nchi yao pamoja na kulipenda Kanisa la Kristo!

Papa Francisko anawataka vijana wa Cuba kuwa wazalendo kwa nchi yao pamoja na kulipenda Kanisa.

Papa Francisko: Vijana Cuba ipendeni nchi yenu na Kanisa la Kristo!

21/04/2018 09:31

Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe kwa njia ya video aliowatumia vijana wa Cuba kama sehemu ya maandalizi ya maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani kwa Mwaka 2019 huko Panama sanjari na Siku ya Vijana Kitaifa nchini Cuba anawataka vijana kuipenda nchi yao na Kanisa la Kristo!

Hati ya Utangulizi wa Sinodi ya Vijana ni muhtasari wa maisha na matamanio yao halali kutoka kwa Mama Kanisa!

Hati ya Utangulizi wa Sinodi ya Vijana ni muhtasari wa maisha na matamanio halali ya vijana kwa Mama Kanisa.

Papa Francisko: Siku ya 33 ya Vijana imewasha moto wa Sinodi!

26/03/2018 08:28

Baba Mtakatifu Francisko anasema, maadhimisho ya Siku ya XXXIII ya Vijana Duniani katika ngazi ya kijimbo kwa mwaka 2018 ni sehemu muhimu sana ya maandalizi ya ya Sinodi ya Maaskofu kwa ajili ya vijana, itakayoadhimishwa mwezi Oktoba 2018 sanjari na maandalizi ya Siku ya XXXIV Duniani, 2019.

Papa Francisko katika ujumbe wake kwa Siku ya 33 ya Vijana Duniani kwa mwaka 2018 anawataka vijana kuorodhesha mambo yanayowaogofya katika maisha yao!

Papa Francisko katika ujumbe wake kwa Siku ya 33 ya Vijana Duniani kwa mwaka 2018 anawataka vijana kuorodhesha mambo yanayowaogofya katika hija ya maisha yao hapa duniani.

Ujumbe wa Papa Francisko kwa Siku ya 33 ya Vijana Duniani, 2018

21/03/2018 07:08

Usiogope Mariamu, kwa maana umepata neema kwa Mungu, ndiyo kauli mbiu inayoongoza maadhimisho ya Siku ya 33 ya Vijana Duniani ambayo kwa Mwaka 2018 inaadhimishwa katika ngazi ya kijimbo! Baba Mtakatifu anawataka vijana kutoogopa, bali wajizatiti kutaja hofu zinazowasumbua mioyoni!

Zinatengemezwa rosario za miti ya mizeituni Nchi Takatifu kwa ajili ya watakao shiriki Siku ya Vijana duniani huko Panama 2019

Zinatengemezwa rosario za miti ya mizeituni Nchi Takatifu kwa ajili ya watakao shiriki Siku ya Vijana duniani huko Panama 2019

Milioni 1,5 ya rosari zinatengenzwa Nchi Takatifu kwa ajili ya Vijana!

20/02/2018 14:38

Mpango unaiitwa AveJmj kutoa milioni moja na nusu ya Rosari za miti ya mizeituni zinazotengeneza huko Betlehemu na familia hitaji, kwa ajili ya vijana ambao watakao weza kushiriki Siku ya Vijana duniani huko Panama kuanzia tarehe 22-27 Januari 2019.Nia kuu ni kusali kwa ajili ya amani

 

 

Tazama na mimi ninajiandikisha kwa njia ya Intaneti kuudhuria Siku ya Vijana duniani huko Panama 2019

Tazama na mimi ninajiandikisha kwa njia ya Intaneti kuudhuria Siku ya Vijana duniani huko Panama 2019

Kuzindua kujiandikisha kwa njia ya Intaneti katika Siku ya Vijana duniani!

12/02/2018 16:07

Leo hii unazinduliwa mchakato wa kujiandikisha kwa Siku ya Vijana Duniani ambayo inatafanyika Panama mwezi Januari 2019.Hata mimi kwa uwepo wa vijana wawili,ninajiandikisha kwa njia ya Interneti.Papa anaongeza kusema,tazama nimejiandikisha sasa kama mhujaji wa Siku ya Vijana Duniani.