Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Siku ya Upatanisho Kitaifa, Colombia

Waamini wanahamasishwa kukimbilia katika Mahakama ya huruma ya Mungu  ili kupata maondoleo ya dhambi, huruma, faraja na mapendo!

Waamini wanahamasishwa kukimbilia kwenye Mahakama ya huruma ya Mungu: inayotakasa, huruma inayofariji, huruma inayosamehe na kupyaisha upya!

Msamaha na upatanisho katika kweli na haki ni chemchemi ya furaha!

16/09/2017 09:23

Huruma na msamaha ni utambulisho wa watoto wa Mungu na ushuhuda wa upendo. Msamaha una nguvu inayoleta uponyaji wa ndani katika maisha ya mwamini. Msamaha humweka mtu huru na kuanza mchakato wa ujenzi wa misingi ya haki, amani, upendo na mshikamano katika ukweli na matumaini!

Liturujia ya Upatanisho wa Kitaifa nchini Colombia ni tukio lililowagusa wengi!

Liturujia ya Upatanisho wa Kitaifa nchini Colombia tarehe 8 Septemba 2017 ni tukio liliwagusa wananchi wa Colombia kutoka katika undani wa maisha yao!

Yaliyojiri kwenye Ibada ya Upatanisho wa Kitaifa nchini Colombia

09/09/2017 16:21

Baba Mtakatifu Francisko anasema, ametamani sana kupata nafasi ya kulia, kusali na kuomba msamaha na familia ya Mungu nchini Colombia kama sehemu ya mchakato wa ujenzi wa amani na upatanisho, tayari kuanza ukurasa mpya unaosimikwa katika umoja, udugu na mshikamano wa kitaifa!

Papa Francisko anavipongeza vikosi vya ulinzi na usalama, anavitaka kujisadaka zaidi kwa ajili ya amani na usalama wa raia na mali zao!

Papa Francisko anavipongeza vikosi vya ulinzi na usalama na anavitaka kujizatiti zaidi kwa ajili ya amani, ulinzi na usalama kwa raia na mali zao!

Papa Francisko: wanajeshi lindeni na kudumisha amani na usalama!

09/09/2017 16:04

Baba Mtakatifu Francisko anawapongeza wanajeshi wa vikosi vya ulinzi na usalama kwa sadaka na majitoleo yao kwa familia ya Mungu nchini Colombia! Anawataka wanajeshi hawa kujisadaka bila ya kujibakiza kwa ajili ya kulinda, kutetea na kudumisha haki, amani, usalama na utulivu kati ya watu!

Papa Francisko anasema, hakuna binadamu mkamilifu, kumbe, daima anahitaji huruma na upendo wa Mungu!

Papa Francisko anasema, hakuna binadamu ambaye ni mkamilifu, kumbe daima anahitaji huruma na upendo wa Mungu katika maisha yake.

Papa Francisko asema, ulemavu ni sehemu ya udhaifu wa binadamu!

09/09/2017 15:32

Baba Mtakatifu Francisko anasema, hakuna binadamu aliye mkamilifu hapa duniani, kila mtu ana kilema chake katika maisha! Lakini, ikumbukwe kwamba, hata katika ulemavu, utu, heshima na haki msingi za binadamu hazina budi kulindwa, kuheshimiwa na kudumishwa na wote pasi na ubaguzi!

Papa Francisko anawataka wananchi wa Colombia kujipatanisha na Mungu na jirani zao, kukubali ukweli, kutubu na kuongoka!

Papa Francisko anawaka wananchi wa Colombia kujipatanisha na Mungu, Jirani na Mazingira! Kukubali ukweli ili kupokea na kutoa msamaha!

Tafakari ya Papa Francisko katika Liturujia ya Upatanisho wa Kitaifa

09/09/2017 14:07

Baba Mtakatifu Francisko anapenda kuwaalika watu wa Mungu nchini Colombia kujipatanisha na Mungu pamoja na jirani zao! Wasiogope ukweli na haki; kupokea na kutoa msamaha; kujipatanisha; kwa kujikita katika toba na wongofu wa ndani ili kujenga na kudumisha amani, haki, utu na heshima ya binadamu.

Papa Francisko anawataka wananchi wa Colombia kujipatanisha na Mungu, Jirani na Mazingira!

Papa Francisko anawataka wananchi wa Colombia kujipatanisha na Mungu, Jirani na Mazingira!

Papa Francisko: Colombia jipatanisheni na Mungu, Jirani na Mazingira!

08/09/2017 15:59

Baba Mtakatifu Francisko anasema, upatanisho ni mlango unaowafungulia watu wote walioathirika kwa vita, ghasia na mipasuko ya kijamii fursa ya kushinda kishawishi cha kutaka kulipiza kisasi kwa kujichukulia sheria mikononi na badala yake, wanakuwa ni wadau wa ujenzi wa amani na upatanisho!