Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Siku ya Tafakari, Sala na Maombi Mashariki ya Kati

Siku ya Sala ya Kiekumene mjini Bari, linapaswa kuwa ni tukio endelevu katika maisha ya Wakristo.

Siku ya Sala ya Kiekumene mjini Bari, 7 Julai 2018 inapaswa kuwa ni tukio endelevu katika maisha na utume wa Kanisa

Siku ya Sala ya Kiekumene: Ni tukio la kihistoria kwa Makanisa

14/07/2018 16:47

Siku ya Sala ya Kiekumene kwa ajili ya kutafakari, kusali na kuombea amani huko Mashariki ya Kati, hapo tarehe 7 Julai 2018 limeimarisha umoja na mshikamano miongoni mwa waamini wa Makanisa ya Mashariki na Magharibi. kardinali Kurt Koch anasema, hili ni tukio endelevu.

Siku ya Sala ya Kiekumene kwa ajili ya Mashariki ya Kati ni mwanzo mpya wa majadiliano ya kiekumene.

Siku ya Sala ya Kiekumene kwa ajili ya kuombea amani Mashariki ya kati huko Bari, Kusini mwa Italia ni mwanzo mpya wa mchakato wa majadiliano ya kiekumene.

Siku ya Sala ya Kiekumene, mwanzo wa mapambazuko mapya ya umoja

12/07/2018 08:59

Siku ya sala ya kiekumene kwa ajili ya kutafakari na kuombea amani huko Mashariki ya Kati, imekuwa ni fursa ya pekee miongoni mwa viongozi wa Makanisa na Jumuiya za Kikristo kujikita katika mchakato wa mwendelezo wa jitihada za majadiliano ya kiekumene kati ya Makanisa katika uhalisia wa maisha!

Viongozi wa Makanisa na Jumuiya za Kikristo wamekazia uekumene wa sala, huduma, ushuhuda, umoja na amani duniani.

Viongozi wa Makanisa na Jumuiya za Kikristo wamekazia uekumene wa sala, huduma, ushuhuda, haki, amani, umoja na mshikamano wa wakristo!

Siku ya Sala ya Kiekumene Bari: Uekumene wa sala, umoja na amani!

08/07/2018 08:48

Siku ya Sala ya Kiekumene huko Bari, Kusini mwa Italia, imehudhuriwa na viongozi wakuu wa Makanisa na Jumuiya za Kikristo huko Mashariki ya Kati kwa kukazia asili ya maisha na utume wa Kanisa; umuhimu wa kukuza na kudumisha uekumene wa sala, huduma, ushuhuda, umoja na amani duniani!

Viongozi wakuu wa Makanisa na Jumuiya za Kikristo wanaitaka Jumuiya ya Kimataifa kusikiliza kilio cha watoto Mashariki ya Kati!

Viongozi wa Makanisa na Jumuiya za Kikristo wanaitaka Jumuiya ya Kimataifa kusikiliza kilio cha watoto wanaoteseka huko Mashariki ya Kati kutokana na vita, nyanyaso na dhuluma.

Papa Francisko: Kilio cha watoto Mashariki ya Kati kisute dhamiri zenu

08/07/2018 08:20

Baba Mtakatifu Francisko kwa niaba ya viongozi wa Makanisa na Jumuiya ya Kikristo katika hotuba yake ya kufunga Siku ya Sala ya Kiekumene iliyofanyika Bari, Italia, amewataka watu kuguswa katika dhamiri zao na kilio cha watoto wanaoteseka kutokana na vita, kiasi cha kukosa mahitaji msingi!

Papa Francisko: Wakristo wote wanayo dhamana na utume wa kutangaza na kushuhudia Habari Njema ya Wokovu kwa watu wa Mataifa.

Papa Francisko: Wakristo wote wanayo dhamana na utume wa kutangaza na kushuhudia Habari Njema ya Wokovu kwa watu wa Mataifa!

Majadiliano ya kiekumene yanawawezesha Wakristo kutembea kwa pamoja

29/06/2018 08:30

Baba Mtakatifu Francisko anasema, Mafundisho na Ushuhuda wa maisha ya Mitume wa Yesu ni mambo msingi yanayojenga Kanisa la Kristo pamoja na kutambua kwamba, Wakristo katika ujumla wao wanayo dhamana na utume wa kutangaza na kushuhudia Habari Njema ya Wokovu kwa Mataifa!