Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Siku ya Sala ya Kiekumene Duniani

Siku ya Sala ya Kiekumene kwa ajili ya Mashariki ya Kati ni mwanzo mpya wa majadiliano ya kiekumene.

Siku ya Sala ya Kiekumene kwa ajili ya kuombea amani Mashariki ya kati huko Bari, Kusini mwa Italia ni mwanzo mpya wa mchakato wa majadiliano ya kiekumene.

Siku ya Sala ya Kiekumene, mwanzo wa mapambazuko mapya ya umoja

12/07/2018 08:59

Siku ya sala ya kiekumene kwa ajili ya kutafakari na kuombea amani huko Mashariki ya Kati, imekuwa ni fursa ya pekee miongoni mwa viongozi wa Makanisa na Jumuiya za Kikristo kujikita katika mchakato wa mwendelezo wa jitihada za majadiliano ya kiekumene kati ya Makanisa katika uhalisia wa maisha!

Siku ya Sala ya Kiekumene imekuwa na mafanikio makubwa katika maisha na utume wa Kanisa.

Siku ya Sala ya Kiekumene imekuwa na mafanikio makubwa katika maisha na utume wa Kanisa kwa sasa na kwa siku za usoni.

Siku ya Sala ya Kiekumene Bari: Mageuzi makubwa katika uekumene!

09/07/2018 16:07

Professa Andrea Riccardi Muasisi wa Jumuiya ya Mtakatifu Egidio anasema, Siku ya Sala ya Kiekumene kwa ajili ya kutafakari, kusali na kuombea amani huko Mashariki ya Kati imekuwa na mafanikio makubwa katika mchakato wa uekumene wa sala na huduma miongoni mwa Wakristo!

Papa Francisko awashukuru viongozi wakuu wa Makanisa na Jumuiya za Kikristo kwa kufanikisha Siku ya Sala ya Kiekumene kwa ajili ya kuomb amani!

Papa Francisko awashukuru viongozi wa Makanisa na Jumuiya za Kikristo kwa kushiriki kikamilifu katika Siku ya Sala ya Kiekumene kwa ajili ya Mashariki ya Kati.

Papa Francisko asema, Siku ya Sala ya Kiekumene imefanikiwa sana!

09/07/2018 08:52

baba Mtakatifu Francisko anawashukuru na kuwapongeza wakuu wa Makanisa ya Mashariki na Jumuiya za Kikristo huko Mashariki ya Kati kwa kufanikisha Siku ya sala na tafakari kwa ajili ya Mashariki ya Kati, tukio ambalo limekuwa ni kielelezo makini cha uekumene wa sala kati ya Wakristo!

Viongozi wakuu wa Makanisa na Jumuiya za Kikristo wanaitaka Jumuiya ya Kimataifa kusikiliza kilio cha watoto Mashariki ya Kati!

Viongozi wa Makanisa na Jumuiya za Kikristo wanaitaka Jumuiya ya Kimataifa kusikiliza kilio cha watoto wanaoteseka huko Mashariki ya Kati kutokana na vita, nyanyaso na dhuluma.

Papa Francisko: Kilio cha watoto Mashariki ya Kati kisute dhamiri zenu

08/07/2018 08:20

Baba Mtakatifu Francisko kwa niaba ya viongozi wa Makanisa na Jumuiya ya Kikristo katika hotuba yake ya kufunga Siku ya Sala ya Kiekumene iliyofanyika Bari, Italia, amewataka watu kuguswa katika dhamiri zao na kilio cha watoto wanaoteseka kutokana na vita, kiasi cha kukosa mahitaji msingi!

Wakuu wa Makanisa ya Kikristo na Jumuiya za Kikristo kuhudhuria Siku ya Sala ya Kiekumene, Bari, tarehe 7 Julai 2018.

Wakuu wa Makanisa ya Kikristo na Jumuiya za Kikristo wanatarajiwa kushiriki kwa wingi katika Siku ya Kiekumene kwa ajili ya kuombea Mashariki ya Kati.

Viongozi wakuu wa Makanisa watakaoshiriki Siku ya Sala ya Kiekumene

04/07/2018 16:04

Baraza la Kipapa kwa ajili ya Makanisa ya Mashariki limetoa orodha ya viongozi wakuu wa Makanisa na Jumuiya za Kikristo watakaoshiriki katika Siku ya Kuombea Amani na Umoja huko Mashariki ya Kati, huko Bari, Kusini mwa Italia, tarehe 7 Julai 2018 kwa ushiriki mkamilifu wa Papa Francisko!

Papa Francisko anakazia uekumene wa maisha katika sala na huduma; uekumene wa damu kama ushuhuda na uekumene wa utakatifu, wito kwa wote!

Papa Francisko anakazia uekumene wa maisha unaofumbatwa katika sala na huduma; uekumene wa damu, ushuhuda wa imani kwa Kristo na Kanisa lake na uekumene wa utakatifu wa maisha, mwaliko kwa Wakristo wote kuwa watakatifu kama Baba yao wa mbinguni alivyo mtakatifu!

Papa Francisko anakazia: Uekumene wa maisha, damu na utakatifu!

04/07/2018 14:33

Baba Mtakatifu Francisko katika maisha na utume wake mintarafu majadiliano ya kiekumene anapenda kuwahimiza wakristo kujikita katika uekumene wa maisha unaofumbatwa katika sala na huduma; uekumene wa damu kama kielelezo cha mshikamano na uekumene wa utakatifu wa maisha kiini cha umoja!

Kardinali Kurt Koch: Uekumene wa damu na sala unaliunganisha zaidi Kanisa!

Kardinali Kurt Koch: Uekumene wa damu na sala unaliunganisha Kanisa zaidi.

Uekumene wa damu na sala unaliunganisha Kanisa zaidi!

03/07/2018 14:31

Kardinali Kurt Koch anasema, uekumene wa damu na sala ni mbegu ya Ukristo na sehemu muhimu sana ya mchakato wa umoja wa Wakristo kama mashuhuda wa Kristo na Kanisa lake! Siku ya Kiekumene ya Kuombea amani na umoja huko Mashariki ya Kti ni kikolezo cha ushuhuda wa pamoja!

Siku ya Sala ya Kiekumene Bari, 7 Julai 2018 ni kwa ajili ya kuombea amani na umoja anasema Baba Mtakatifu Francisko

Siku ya Sala ya Kiekumene, Bari, tarehe 7 Julai 2018 ni Siku kwa ajili ya kuombea amani na umoja wa Wakristo.

Siku ya Sala ya Kiekumene Bari: Kuombea amani na umoja wa Wakristo!

03/07/2018 09:06

Baba Mtakatifu Francisko anasema, Siku ya Sala ya Kiekumene, tarehe 7 Julai 2018 ni muda muafaka kwa viongozi mbali mbali wa Makanisa pamoja na waamini katika ujumla wao, kukutana kwa ajili ya kumbea haki, amani, umoja na mshikamano huko Mashariki ya Kati, ambako Wakristo wanateseka sana.