Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Siku ya Mazingira Duniani kwa Mwaka 2017

Kama isemavyo kitabu cha Mwanzo hapakuwa na mimea juu ya nchi wala miti haikuwa imechipua kwani Mwenyezi  Mungu hakuwa ameinyeshea nchi mvua

Kama isemavyo kitabu cha Mwanzo hapakuwa na mimea juu ya nchi wala miti haikuwa imechipua kwani Mwenyezi Mungu hakuwa ameinyeshea nchi mvua na wala hapakuwapo mtu wa kuilima.

Ujumbe wa Papa na Patriaki kwa Siku ya Kuombea Utunzaji wa Mazingira 2017

01/09/2017 12:13

Baba Mtakatifu Francisko na Patriaki wa Kiekumeni Bartholomew I wameandika kwa mara ya kwanza ujumbe katika tukio la kuadhimisha mwaka wa tatu wa Siku ya Kuombea Utunzaji wa Mazingira unaofanyika kila ifikapo tarehe1 Septemba.. Baba hawa wanawaomba wenye mapenzi wema kuwajibika

 

Uharibifu mkubwa unaoendelea  katika Ghuba ya Texas hasa huko Houston umesasababishwa na kimbunga cha Harvey ambayo ni dhoruba ya kitropiki

Uharibifu mkubwa unaoendelea katika Ghuba ya Texas hasa huko Houston umesasababishwa na kimbunga cha Harvey ambayo ni dhoruba ya kitropiki

Patriaki Bartholomew asema ni kipindi cha kutafakari nguvu ya kutisha ya asili

30/08/2017 14:45

Patriaki:Ni wakati wa kutafakari juu ya nguvu ya kutisha ya asili,ni wajibu wetu wa kibinadamu kuwa watendaji bora wenye busara ya mazingira. Sisi sote tumeitwa kushiriki katika ukombozi na usimamizi wa dunia yetu,kufanya kazi ili kuzuia nguvu ya uharibifu utokanao na vimbunga na mafuriko

 

Utunzaji bora wa mazingira ni uwajibikaji unaoashiria moyo safi

Utunzaji bora wa mazingira ni uwajibikaji unaoashiria utu wema na moyo safi

Utunzaji safi wa mazingira ishara ya moyo safi

08/06/2017 13:51

Patriak Bartholomeo, Askofu mkuu wa Constantinopoli atoa mwaliko kuzingatia utunzaji mzuri wa mazingira na kila mwanadamu kujisikia deni la kuwajibika mbele ya wengine, mbele ya viumbe na mbele ya Mungu ikiwa ishara ya utu wema na moyo safi. 

Uamuzi wa Rais Trump wa Marekani kuondoa Marekani katika utekelezaji wa Itifaki ya Paris, umeshutumiwa na wengi!

Uamuzi wa Rais Donald Trump wa Marekani wa kuiondoa Marekani katika utekelezaji wa Itifaki ya Paris juu ya utunzaji bora wa mazingira nyumba ya wote umeshutumiwa na wengi duniani.

Siku ya Mazingira Duniani kwa Mwaka 2017 imetiwa mchanga!

05/06/2017 15:29

Viongozi mbali mbali wa Jumuiya ya Kimataifa pamoja na viongozi wa kidini, wamesikitishwa sana na uamuzi wa Rais Donald Trump wa Marekani kujiondoa kwenye mchakato wa utekelezaji wa Itifaki ya Paris juu ya utunzaji bora wa mazingira nyumba ya wote, kwani madhara yake ni makubwa sana!

 

Siku ya Mazingira Duniani 5 Juni 2017: Kauli mbiu: Mahusiano endelevu kati ya binadamu na mazingira"

Siku ya Mazingira Duniani 5 Juni 2017: Kauli mbiu "mahusiano endelevu kati ya binadamu na mazingira".

Siku ya Mazingira Duniani 5 Juni 2017 na changamoto zake Tanzania

31/05/2017 14:26

Athari za mabadiliko ya tabianchi ni kati ya vyanzo vikuu vya maafa ya watu na mali zao sehemu mbali mbali za dunia! Lakini waathirika wakuu ni maskini. kauli mbiu ya maadhimisho ya Siku ya Mazingira kwa mwaka 2017 ni "Mahusiano endelevu kati ya binadamu na mazingira"! Tekeleza wajibu wako!