Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Siku kuu ya Kutukuka kwa Msalaba

Baba Mtakatifu Francisko anamwomba Mungu amjalie neema na baraka ya kulia pamoja na wale wanaoomboleza kutokana na sababu mbali mbali.

Baba Mtakatifu Francisko anamwomba Mwenyezi Mungu amjalie kipaji cha kulia na kuwaombolezea wale wanaoteseka kutokana na matatizo na shida mbali mbali.

Ni wanawake peke yao wenye ujasiri wa kusimama chini ya Msalaba

15/09/2017 12:39

Mama Kanisa kila mwaka ifikapo tarehe 15 Septemba anaadhimisha Kumbu kumbu ya Bikira Maria wa mateso. Mama wa Mungu na Kanisa alithubutu kusimama chini ya Msalaba na kushuhudia Mwanaye wa pekee, Kristo Yesu akikata roho! Akasali na kumwombolezea Mwanaye mpendwa!

Je unafuata msalaba bila kuwa na Yesu,ukilalamika daima na moyo huo usio kuwa na Mungu kiroho? Je unafuata Yesu bila Msalaba?

Je unafuata msalaba bila kuwa na Yesu,ukilalamika daima na moyo huo usio kuwa na Mungu kiroho? Je unafuata Yesu bila Msalaba?

Msalaba bila Kristo na Kristo bila msalaba siyo fumbo la upendo

14/09/2017 16:30

Katika mahubiri yake Baba Mtakatifu katika Kikanisa cha Mtakatifu Marta Vatican,anasema, iwapo hata sisi tunaweza kutambua jinsi ya kushuka kwake hadi mwisho,tunaweza kutambua hata ukombozi ambao unatolewa na fumbo la upendo.Lakini hata hivyo siyo rahisi maana daima kuna vishawishi vikali

 

Mama Kanisa kila mwaka ifikapo tarehe 14 Septemba anaadhimisha Siku kuu ya Kutukuka kwa Msalaba Mtakatifu.

Mama Kanisa kila mwaka ifikapo tarehe 14 Septemba anaadhimisha Siku kuu ya kutukuka kwa Msalaba Mtakatifu, kielelezo cha huruma, upendo, msamaha na hekima ya Mungu kwa binadamu!

Siku kuu ya Kutukuka kwa Msalaba wa Yesu: Utakatifu, huruma na upendo

14/09/2017 07:00

Kila mwaka ifikapo tarehe 14 Septemba, Mama Kanisa anaadhimisha Siku kuu ya kutukuka kwa Msalaba wa Kristo, kielelezo cha mateso, kifo na ufufuko wa Kristo kwa wafu; ufunuo wa utakatifu, ukuu, huruma, upendo na msamaha unaobubujika kutoka katika hekima ya Baba wa milele kwa ajili ya binadamu!

Kuadhimisha Sikukuu ya Kutukuka kwa Msambala unakumbusha kuwa ni kwa njia ya msalaba wa Yesu Kristo, ubaya wa shetani umeshindwa pamoja na mauti

Kuadhimisha Sikukuu ya Kutukuka kwa Msambala unakumbusha kuwa ni kwa njia ya msalaba wa Yesu Kristo, ubaya wa shetani umeshindwa pamoja na mauti

Papa: Maisha ya Utakatifu na kila mateso yanapitia katika Msalaba

13/09/2017 16:20

Tarehe 14 Septemba Kanisa Katoliki linaadhimisha Sikukuu ya Kutukuka kwa Msalaba.Baba Mtakatifu Francisko anasema kumbukeni daima kwamba,ni kwa njia ya msalaba wa Yesu Kristo,ubaya wa shetani umeshindwa pia mauti.Kwa njia hiyo tumepata maisha na kurudishiwa matumaini ya kweli katika Kristo.