Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Shule ya Sala

Papa Francisko asema, walimwengu wana kiu kubwa sana ya kuwaona mashuhuda na vyombo vya huruma ya Mungu katika maisha yao!

Papa Francisko asema, walimwengu wana kiu kubwa ya kutaka kuonana na mashuhuda na vyombo vya huruma katika maisha yao, ili kuwashirikisha: Injili ya imani, matumaini na mapendo yanayobubujika kutoka kwa Kristo Yesu na Kanisa lake.

Walimwengu wanatamani kuwaona mashuhuda na vyombo vya huruma ya Mungu

12/03/2018 11:35

Baba Mtakatifu Francisko anasema, ulimwengu mamboleo una kiu ya kutaka kuwaona na kukutana na mashuhuda pamoja na vyombo vya huruma na upendo wa Mungu katika maisha yao, ili kuwaonjesha Injili ya furaha, imani na matumaini kwa leo na kesho iliyo bora zaidi kutoka kwa Kristo Yesu!