Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Katoliki Ulaya

Utandawazi usiokuwa na mashiko ni kichaka cha uchu wa mali na madaraka; biashara haramu ya binadamu na utumwa mamboleo!

Utandawazi usiokuwa na mvuto wala mashiko ni kichaka cha uchu wa mali na madaraka, biashara haramu ya binadamu na utumwa mamboleo, mambo yanayodhalilisha utu na heshima ya binadamu!

Utandawazi wa mshikamano katika maisha na utume wa Kanisa!

25/04/2018 07:16

Utandawazi ni mchakato unaogusa maisha ya mtu mzima: kiroho na kimwili; unagusa na kutikisa maisha ya mtu binafsi, familia na jamii katika ujumla wake. Utandawazi una tabia ya kujielekeza zaidi katika maisha ya kitamaduni, kiuchumji, kisiasa na hata kidini. Utandawazi wa mshikamano unahitajika!

Askofu Mkuu Jean-Calude Hollerich wa Jimbo Kuu la Luxembourg amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Comece!

Askofu Mkuu Jean-Calude Hollerich wa Jimbo Kuu la Luxembourg amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Comece!

Askofu Mkuu Jean-Claude Hollerich ni Mwenyekiti mpya wa Comece!

09/03/2018 15:01

Tangu tarehe 7 -9 Machi,Maaskofu wa Shirikisho la Mabaraza la Maaskofu Katoliki Ulaya wameunganika pamoja katika mkutano wa mwaka pia wamemchagua mwenyekiti mpya Askofu Mkuu Jean-Claude Hollerich wa Jimbo Kuu Lussemburg na wasaidizi wake wanne kuongoza hadi 2023 

 

 

Kanisa Barani Ulaya litaendelea kutangaza na kushuhudia Habari Njema ya Wokovu kwa watu wa Mataifa kwa kukazia utu na heshima ya binadamu.

Kanisa Barani Ulaya litaendelea kutangaza na kushuhudia Habari Njema ya Wokovu kwa kukazia utu na heshima yua binadamu.

Maaskofu Katoliki Ulaya: Dumisheni utu wa binadamu na jengeni umoja!

11/10/2017 07:18

Kanisa Barani Ulaya litaendelea kutangaza na kushuhudia Habari Njema ya Wokovu kwa watu wa Mataifa kwa kutoa kipaumbele cha kwanza katika mchakato unaopania kukuza na kudumisha utu, heshima, ustawi, maendeleo na mafao ya wengi. Ni mwaliko wa kusimamia haki msingi za binadamu!

Maaskofu Barani Ulaya wanataka kuwekeza zaidi kwa vijana na tunu msingi za maisha ya ndoa na familia ya Kikristo!

Maaskofu Barani Ulaya wanataka kuwekeza zaidi katika utume kwa vijana na kwenye tunu msingi za maisha ya ndoa na familia.

Maaskofu na hatima ya vijana Barani Ulaya!

02/10/2017 10:21

Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Katoliki Barani Ulaya, Ccee, linataka kuwekeza zaidi katika majiundo makini kwa vijana wa kizazi kipya ili kuwajengea uwezo wa kupambana na changamoto za maisha kwa njia ya imani makini sanjari na kujikita katika tunu msingi za Injili ya familia!

Mama Kanisa anapenda kuendelea kuwa mwaminifu kwa Kristo Yesu kwa njia ya huduma kwa maskini na wanaosukumizwa pembezoni mwa jamii.

Mama Kanisa anapenda kuendelea kuwa mwaminifu kwa utume wake kwa Kristo Yesu kwa kuwahudumia maskini na wale wote wanaosukumizwa pembezoni mwa jamii kama wakimbizi na wahamiaji.

Papa Francisko: Kanisa litaendelea kutekeleza utume wake kwa maskini

22/09/2017 15:03

Baba Mtakatifu Francisko anasema, Kanisa litaendelea kutekeleza utume wake wa kumpenda, kumtukuza na kumwabudu Kristo Yesu, hasa miongoni mwa maskini na wale wote wanaosukumizwa pembezoni mwa jamii, kati yao wamo pia wakimbizi na wahamiaji wanaotafuta: usalama, hifadhi na maisha bora!

Kanisa Barani Ulaya linakabiliwa na changamoto nyingi zinazopaswa kuvaliwa njuga katika maisha na utume wa Kanisa!

Kanisa Barani Ulaya linakabiliwa na changamoto nyingi ambazo zinapaswa kuvaliwa njuga ilikuimarisha maisha na utume wa Kanisa la Kristo kwa walimwengu.

Makatibu wakuu wa CCEE wanapembua changamoto za Kanisa Barani Ulaya

30/06/2017 16:44

Kanisa Barani Ulaya linakabiliwa na changamoto kadhaa ambazo zinapaswa kuvaliwa njuga, ili kukuza na kudumisha maisha na utume wa Kanisa kwa watu wa nyakati hizi. Moja ya changamoto hizi ni wakimbizi na wahamiaji; tunu msingi za maisha ya ndoa na familia pamoja na utume kwa vijana!