Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu. A. Magharibi

RECOWA-CERAO: changamoto kubwa: hali tete ya kisiasa; misimamo mikali ya kidini na majanga asilia.

RECOWA-CERAO: changamoto kubwa: hali tete ya kisiasa, kiuchumi na kijamii; misimamo mikali ya kidini na kiimani pamoja na athari za majanga asilia.

RECOWA-CERAO na changamoto zake Afrika Magharibi!

19/04/2017 11:12

Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Katoliki Afrika Magharibi linasema, linapenda kushirikiana kwa dhati na Jumuiya ya Uchumi Afrika Magharibi,ECOWAS ili kukabiliana na changamoto zinazoendelea kujitokeza katika Nchi wanachama wa RECOWA-CERAO hasa: vitendo ya kigaidi na misimamo mikali ya kidini

Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Katoliki Afrika Magharibi linachambua changamoto za familia ya Mungu katika eneo hili.

Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Katoliki Afrika Magharibi linachambua changamoto zinazoikabili familia ya Mungu Afrika Magharibi.

Familia ya Mungu Afrika Magharibi inajadili changamoto zake!

22/02/2016 14:43

Haki, amani, upatanisho, tunu msingi za maisha ya ndoa na familia ni kati ya changamoto zinazofanyiwa kazi na Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Katoliki Afrika Maghariki katika mkutano wake mkuu wa pili uliofunguliwa tarehe 22- 29 Februari 2016 huko Accra, Ghana.