Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Shirika la Wayesuit

Pamoja na utume unaotolewa na Chuo Kikuu cha Gregoriani na Taasisi ya Biblia, Baba Mtakatifu anasisitiza kuwa, kuna hata Taasisi ya Mashariki

Pamoja na utume unaotolewa na Chuo Kikuu cha Gregoriana na Taasisi ya Biblia, Baba Mtakatifu anasisitiza kuwa, kuna hata Taasisi ya Mashariki

Ujumbe wa Papa kwa Miaka 100 ya Baraza la Kipapa kwa Makanisa ya Mashariki

12/10/2017 15:36

Pamoja na utume unaotolewa na Chuo Kikuu cha Gregoriani naTaasisi ya Biblia,Baba Mtakatifu anasisitiza kuna hata Taasisi ya Mashariki inapaswa kutambuliwa kwa wote.Kuna umuhimu wa kuhakikisha Taasisi inakuwa thabiti kwa walezi wa Kiyesuit kwa kuwasadia katika malezi yao

 

 

Wayesuit wametiliana sahihi na Vatican ili kuendelea kushiriki katika tasnia ya habari mintarafu mageuzi ya Papa Francisko.

Wayesuit wametiliana sahihi na Vatican ili kuendelea kushiriki katika tasnia habari mintarafu mageuzi yanayofanywa na Baba Mtakatifu Francisko kwa wakati huu.

Wayesuit na Vatican watiliana sahihi mkataba wa huduma ya mawasiliano

22/09/2017 16:05

Baba Mtakatifu Francisko anaridhishwa na mkataba mpya uliotiwa sahihi kati ya Vatican na Shirika la Wayesuit ambao wamekubali kuendelea kushiriki kikamilifu katika mchakato wa mageuzi yanayofanywa na Papa Francisko katika tasnia ya mawasiliano ya jamii kwa ajili ya mafao ya Kanisa la Kristo!