Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Sheria za Kanisa

Gombo la Sheria za Kanisa linaadhimisha Jubilei ya Miaka 100 tangu kutungwa kwake, mwaka 1917.

Gombo la Sheria za Kanisa linaadhimisha Jubilei ya Miaka 100 tangu kutungwa kwake mwaka 2017.

Miaka 100 ya Gombo la Sheria za Kanisa: umuhimu wa sheria na taratibu

09/10/2017 08:35

Mama Kanisa anaadhimisha Jubilei ya Miaka 100 tangu kuanzishwa kwa Gombo la Sheria za Kanisa kunako mwaka 1917 na Papa Pio X, chombo muhimu sana cha majiundo, maisha na utume wa Kanisa katika ulimwengu mamboleo sanjari na Katekisimu ya Kanisa Katoliki. 

Papa Francisko katika Barua yake Binafsi "Magnum Principium" anakazia umuhimu wa tafasiri sahihi ya vitabu vya liturujia ya Kanisa.

Papa Francisko katika Barua yake binafsi "Motu Proprio: Magnum Principium" anakazia umuhimu wa kutafasiri vitabu vya liturujia kwa watu wa Mungu.

Barua Binafsi kuhusu: Mwendelezo wa Mageuzi ya Maisha ya Liturujia

13/09/2017 10:19

Baba Mtakatifu Francisko ameandika Barua Binafsi "Magnum Principium" kuhusu mwendelezo wa mchakato wa mageuzi katika maisha ya Liturujia ya Kanisa yaliyoanzishwa na Mababa wa Mtaguso Mkuu wa Pili wa Vatican kwa kubadilisha Sheria za Kanisa namba 838 kuhusu tafsiri ya lugha ya vitabu vya liturujia

Watengenezaji wa hostia na divai inayotumika kwenye liturujia ya Kanisa wawe waaminifu na wadilifu kwa kuzingatia ubora unaotakiwa.

Watengenezaji wa hostia na divai inayotumika kwa ajili ya maadhimisho ya Fumbo la Ekaristi takatifu wanapaswa kuwa waaminifu na waadili ili kuzingatia ubora unaotakiwa na Mama Kanisa kwa ajili ya maadhimisho haya.

Angalisho juu ya utengenezaji wa hostia na divai kwa ajili ya Ibada!

10/07/2017 10:35

Kutokana na kukua kwa biashara na soko huria katika masuala mbali mbali, Baraza la Kipapa la Nidhamu na Sakramenti za Kanisa limewaandikia Maaskofu barua ya kuwa makini zaidi na hostia pamoja na divai inayotumika kwa ajili ya maadhimisho ya Fumbo la Ekaristi Takatifu ili ziwe na ubora unaotakiwa!

Sheria za Kanisa kuhusu ndoa zinasaidia kurahisisha maisha ya waamini kadiri ya mafundisho ya Kanisa

Sheria za Kanisa kuhusu ndoa zinasaidia kurahisisha maisha ya waamini na sio nyenzo ya kubatilisha ndoa

Taratibu mpya za kesi za ndoa, nyenzo kuboresha maisha ya waamini

15/06/2017 14:34

Kitabu chachapishwa na majarimu wawili wa Chuo kikuu cha kipapa cha Lateran, kuelezea namna ya kufungua kesi za ndoa, uendeshwaji wake, na mambo muhimu ya kuzingatia kadiri ya taratibu mpya za sheria kanuni za kanisa zilizomo kwenye Mitis Iudex Dominus Iesus.

 

Taarifa ya fedha na uchumi kwa mwaka 2015 inaonesha kwamba, Vatican ilipata faida kiasi cha Euro 59. 9.

Taarifa ya fedha na uchumi kwa mwaka 2015 kutoka Vatican inaonesha kwamba, Vatican iliweza kukusanaya kiasi cha Euro milioni 59. 9. Haya ni matunda ya sera na mikakati ya mchakato wa mageuzi yanayoendelezwa na Baba Mtakatifu Francisko.

Hali ya mapato na matumizi ya Vatican inaendelea kuimarika!

06/03/2017 10:51

Baba Mtakatifu Francisko analipongeza Baraza la Uchumi Vatican pamoja na Sekretarieti ya Uchumi kwa kuendelea kutekeleza sera na mikakati ya maboresho ya udhibiti wa mapato na matumizi ya fedha za Kanisa, ili kweli fedha hii iweze kutumika katika mchakato wa shughuli za Uinjilishaji!

Papa Francisko alipokuwa anazungumza na watoto amejibu maswali kuhusu uchaguzi wa Papa; Sifa kuu na matarajio yake alipokuwa mtoto mdogo!

Papa Francisko alipokuwa anazunguma na watoto wadogo wa Parokia ya Mtakatifu Maria Josefa wa Moyo Mtakatifu wa Yesu amezungumzia kuhusu mchakato wa uchaguzi wa Khalifa wa Mtakatifu Petro, Sifa zake na matamanio yake alipokuwa mtoto mdogo.

Maswali ya watoto wadogo kwa Baba Mtakatifu Fransicko!

20/02/2017 10:31

Watoto wa Parokia ya Mtakatifu Maria wa Yosefu wa Moyo Mtakatifu wa Yesu walipokutana na Baba Mtakatifu wamemuulizia ni kwa nini aliamua kuwa Papa? Katika maisha yake kama mtoto alitamani mambo yetu katika ukubwa na Je, Papa anachaguliwa namna gani! Vigezo vipi vinatumika?

Kardinali Francesco Coccopalmerio anafafanua kwa kina na mapana Sura ya 8 ya Wosia wa Kitume wa Papa Francisko, Amoris laetitia.

Kardinali Francesco Coccopalmerio anafafanua kwa kina na mapana kuhusu sura ya 8 ya Wosia wa Kitume wa Papa Francisko kuhusu Furaha ya upendo ndani ya familia.

Ufafanuzi wa kina: Toba ya ndani na kutamani matakatifu!

20/02/2017 07:21

Wosia wa kichungaji wa Baba Mtakatifu Francisko: Furaha ya upendo ndani ya familia unapyaisha masuala ya kichungaji yanayofumbatwa katika katika Mapokeo ya Mafundisho Tanzu ya Kanisa minatarafu masuala ya Ndoa na familia; kwa kuzingatia ufahamu wa Ndoa ya Kikristo na busara ya kichungaji!

Dumisheni haki na huruma; ukweli, uzuri na utakatifu wa familia ya Kikristo!

Wafanyakazi wa Mahakama kuu ya Rufaa ya Kitume wametakiwa kutekeleza vyema wajibu wao kwa kuzingatia: haki na huruma; ukweli, uzuri na utakatifu wa familia ya Kikristo!

Jifunzeni kutenda katika ukweli, uwazi na utakatifu wa maisha!

23/01/2017 14:29

Askofu mkuu Angelo Becciu anawataka wafanyakazi wa Mahakama Kuu ya Rufaa ya Kitume kumwachia nafasi Roho Mtakatifu ili aweze kuwaongoza katika kutekeleza dhamana na wajibu wao wa kujenga na kuimarisha misingi ya haki na huruma; katika ukweli, uwazi na utakatifu wa maisha ya familia ya Kikristo