Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Sherehe ya Watakatifu Petro na Paulo, Mitume

Damu ya mashuhuda wa imani ni mbegu ya Ukristo sehemu mbali mbali za dunia

Damu ya mashuhuda wa imani ni mbegu ya Ukristo sehemu mbali mbali za dunia.

Mitume Petro na Paulo ni mashuhuda wa imani walioyamimina maisha yao!

29/06/2017 15:27

Mababa wa Kanisa wanasema, damu ya mashuhuda wa imani ni mbegu ya Ukristo sehemu mbali mbali za dunia. Hii ndiyo dhamana iliyotekelezwa na Watakatifu Petro na Paulo, miambana na mihimili ya imani, walioyamimina maisha yao kwa ajili ya Kristo na Kanisa lake wakawa mbegu ya Ukristo!

Watakatifu Petro na Paulo ni mihimili ya imani ya Kanisa!

Watakatifu Petro na Paulo ni mihimi ya Kanisa la Kristo!

Katika mateso Kristo yupo pamoja na waamini

29/06/2017 14:21

Wakati wa Sala ya Malaika wa Bwana Kanisa linapoadhimisha Sikukuu ya Mitume Petro na Paulo tarehe 29 Juni 2017, Baba Mtakatifu Francisko awahakikishia waamini uwepo wa Kristo katika mahangaiko yao ya kila siku, waepuke dhambi ili nguvu ya Mungu iwaokoe na mitego.

Maaskofu wakuu 36 wamepewa Pallio Takatifu watakazovishwa Majimboni mwao na Mabalozi wa Vatican.

Maaskofu wakuu 36 wamepewa Pallio Takatifu watakazovishwa na Mabalozi wa Vatican katika nchi husika.

Mwamini kiri imani na kumbatia mateso kwa nguvu ya sala

29/06/2017 14:09

Baba Mtakatifu Francisko katika mahubiri yake alipokuwa akiadhimisha Misa Takatifu kwa heshima ya Sikukuu ya Watakatifu Petro na Paulo katika uwanja wa Kanisa kuu la Mtakatifu Petro mjini Vatica, amewaasa waamini kukiri imani na kukumbatia mateso kwa nguvu ya sala kama watakatifu hao.

Maaskofu wakuu 38 kati yao 8 kutoka Afrika watapewa Pallio Takatifu, 29 Juni 2017

Maaskofu wakuu 38 kati yao 8 kutoka Barani Afrika watapewa Pallio Takatifu watakazobishwa na Mabalozi wa Vatican kwenye nchi husika.

Maaskofu wakuu 36 kupewa Pallio Takatifu, kati yao 8 ni kutoka Afrika

28/06/2017 15:44

Baba Mtakatifu Francisko katika maadhimisho ya Siku kuu ya Watakatifu Petro na Paulo, miamba wa imani, anaongoza Ibada ya Misa Takatifu ambamo pia atabariki Pallio Takatifu watakazovishwa Maaskofu wakuu wapya 36 na Mabalozi wa Vatican kwenye majimbo yao makuu, kati yao 8 ni kutoka Afrika.

Wajumbe kutoka Kanisa la Kiorthodox la Costantinopoli wanahudhuria sherehe za Watakatifu Petro na Paulo, Miamba wa imani.

Wajumbe kutoka Kanisa la Kiorthodox wanahudhuria Ibada ya Misa Takatifu kwa heshima ya Watakatifu Petro na Paulo Mitume

Cheche za matumaini: Miaka 50 ya mchakato wa majadiliano ya kiekumene

27/06/2017 15:11

Kardinali Katoliki na Kanisa la Kiorthodox la Costantinopoli yanaadhimisha Jubilei ya Miaka 50 tangu viongozi wakuu wa Makanisa haya walipokutana na kunzisha mchakato wa ujenzi wa uekumene wa sala, ushuhuda wa Neno la Mungu, maisha ya roho na huduma makini ya Kiinjili kati ya watu!

Sherehe ya Ekaristi Takatifu kuadhimishwa Jumapili kuanzia mwaka 2017.

Sherehe ya Ekaristi Takatifu kuadhimishwa Jumapili kuanzia Mwaka 2017.

Sherehe ya Ekaristi Takatifu kuadhimishwa Jimboni Roma, Jumapili

19/05/2017 09:30

Baba Mtakatifu Francisko ameridhia uamuzi wa kuadhimisha Sherehe ya Ekaristi Takatifu ambayo kadiri ya Mapokeo, imekuwa ikiadhimishwa Alhamisi Jimbo kuu la Roma kuanzia mwaka 2017 itaadhimisha Jumapili, ili kutoa nafasi kwa waamini wengi kushiriki katika kuadhimisha na kushuhudia imani yao!