Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Sherehe ya Kuzaliwa kwa Yohane Mbatizaji

Askofu Beatus Christian Urassa amewekwa wakfu na kusimikwa kuwa Askofu wa Jimbo Katoliki Sumbawanga.

Askofu Beatus Urassa amewekwa wakfu na kusimikwa kuwa Askofu mpya wa Jimbo Katoliki Sumbawanga.

Yaliyojiri S'wanga wakati wa kuwekwa wakfu na kusimikwa Askofu Urassa

25/06/2018 14:30

Askofu anayo dhamana na wajibu wa kufundisha, kuongoza na kuwatakatifuza watu wa Mungu aliokabidhiwa kwake na Kanisa kwa kutambua kwamba, huu ni mwendelezo wa historia ya huruma na upendo wa Mungu unaopata chimbuko lake katika Daraja Takatifu ya Upadre! Wosia kwa Askofu Urassa!

Yohane Mbatizaji ni jua la haki; mtangulizi, rafiki na shuhuda wa Mwanakondoo wa Mungu!

Yohane Mbatizaji ni Jua la haki; mtangulizi, rafiki na shuhuda wa Mwanakondoo wa Mungu.

Sherehe ya Kuzaliwa kwa Yohane Mbatizaji: Shuhuda wa Mwanakondoo!

23/06/2018 07:40

Sherehe ya kuzaliwa kwa Yohane Mbatizaji imepewa uzito wa pekee na Mama Kanisa kutokana na umuhimu wa Yohane Mbatizaji katika historia nzima ya ukombozi: Alishangilio ujio wake na kumtambulisha alipofika! Alimshuhudia Mwanakondoo wa Mungu, katika ukweli na haki akayamimina maisha yake!

Askofu mteule Beatus Christian Urassa anawekwa wakfu tarehe 24 Juni 2018 kuwa Askofu wa Jimbo la Sumbawanga, Tanzania

Askofu mteule Beatus Christian Urassa, tarehe 24 Juni 2018 anawekwa wakfu kuwa Askofu mpya wa Jimbo Katoliki Sumbawanga, Tanzania.

Familia ya Mungu Jimbo Katoliki Sumbawanga inasema, kumekucha!

22/06/2018 17:25

Askofu Damiani Kyaruzi wa Jimbo Katoliki Sumbawanga anasema, mambo yote tayari yamekamilika ili familia ya Mungu Jimbo Katoliki Sumbawanga, iweze kumkaribisha na kumwonesha umoja, upendo na ukarimu, Askofu mteule Beatus Christian Urassa anayesimikwa rasmi, Jumapili, tarehe 24 Juni 2018.

Mtakatifu Yohane Mbatizaji ni Nabii wa Aliye Juu!

Mtakatifu Yohane Mbatizaji ni Nabii wa Aliye Juu

Sherehe ya Kuzaliwa kwa Yohane Mbatizaji: Nabii wa Aliye Juu!

22/06/2018 07:44

Mtakatifu Yohane Mbatizaji ni mtangulizi, aliyetumwa na Mwenyezi Mungu kumwandalia njia Masiha na Mkombozi wa ulimwengu. Yohane Mbatizaji ni Nabii wa Aliye Juu; Ni rafiki wa Bwana Arusi aliyethubutu kumtambulishwa kwa watu kuwa ndiye "Mwanakondoo wa Munguanayeondoa dhambi za ulimwengu"

Yohane Mbatizaji: ni kiungo kati ya Agano la Kale na Agano Jipya; Alitambua Ujio wa Kristo, Akamtambulisha kuwa ni Mwanakondoo wa Mungu!

Yohane Mbatizaji: Ni kiungo muhimu kati ya Manabii wa Agano la Kale na Agano Jipya, Alitambua ujio wa Kristo Yesu, Akambatiza na kumtambulisha hadharani kuwa ni Mwanakondoo wa Mungu aondoaye dhambi za ulimwengu.

Sherehe ya Kuzaliwa kwa Yohane Mbatizaji!

20/06/2018 16:27

Mtakatifu Yohane Mbatizaji, ni mtangulizi wa karibu wa Bwana, aliyetumwa kumtayarishia njia. "Nabii wa Aliye juu" ni Mkuu kuliko manabii wote na wa mwisho. Anazindua Injili, anashangilia ujio wa Kristo toka tumboni mwa mama yake, anamtambulisha kama Mwanakondoo wa Mungu aondoaye dhambi za dunia.