Mitandao ya kijamii:

RSS:

App:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Sherehe ya Ekaristi Takatifu

Sherehe ya Ekaristi Takatifu kuadhimishwa Jumapili kuanzia mwaka 2017.

Sherehe ya Ekaristi Takatifu kuadhimishwa Jumapili kuanzia Mwaka 2017.

Sherehe ya Ekaristi Takatifu kuadhimishwa Jimboni Roma, Jumapili

19/05/2017 09:30

Baba Mtakatifu Francisko ameridhia uamuzi wa kuadhimisha Sherehe ya Ekaristi Takatifu ambayo kadiri ya Mapokeo, imekuwa ikiadhimishwa Alhamisi Jimbo kuu la Roma kuanzia mwaka 2017 itaadhimisha Jumapili, ili kutoa nafasi kwa waamini wengi kushiriki katika kuadhimisha na kushuhudia imani yao!

Sherehe ya Ekaristi Takatifu iwe ni chachu ya ari na mamko mpya wa kimissionari na huduma kwa jirani.

Sherehe ya Ekaristi Takatifu iwe ni chachu ya mwamko na ari mpya ya kimissionari na huduma ya upendo kwa familia ya Mungu kama sehemu ya mchakato wa Uinjilishaji mpya.

Saidieni mchakato wa kuyatakatifuza malimwengu!

31/05/2016 08:42

Mchakato wa Uinjilishaji mpya unajikita katika ushuhuda wenye mvuto na mashiko; unaomwilisha matendo ya huruma kiroho na kimwili katika uhalisia wa maisha ya watu, kama kielelezo cha imani tendaji. Waamini wanahamasishwa kushiriki katika mchakato wa kuyatakatifuza malimwengu!

Fumbo la Ekaristi Takatifu ni chachu ya huruma na upendo wa Mungu kwa binadamu!

Fumbo la Ekaristi takatifu ni chachu ya huruma na upendo wa Mungu kwa mwanadamu.

Ekaristi Takatifu ni chemchemi ya utume wa Kanisa!

29/05/2016 07:41

Ekaristi Takatifu ni chachu ya huruma na upendo wa Mungu kwa mwanadamu. Uwepo wa Yesu katika Tabernakulo ni kielelezo cha mwanga angavu na uwepo wa Mungu kati ya watu wake. Kanisa linaendelea kuboreshwa kwa njia ya Sakramenti, Sala, Neno la Mungu na maisha adili.

Sherehe ya Ekaristi takatifu ilianzishwa na Papa Urbano IV kunako Mwaka 1264.

Sherehe ya Ekaristi takatifu ilianzishwa na Papa Urbano IV kunako mwaka 1264 kufuatia muujiza wa Ekaristi uliofanyika huko Bolsena, Italia.

Ni kumbu kumbu ya uwepo endelevu wa Kristo!

28/05/2016 08:18

Maadhimisho ya Sherehe ya Ekaristi Takatifu yalianzishwa na Papa Urbano IV kunako mwaka 1264 kufuatia muujiza wa Ekaristi Takatifu uliotokea huko Bolsena, Italia kunako mwaka 1263. Maadhimisho haya yanaambata na Ibada ya Misa Takatifu, Kuabudu na Maandamano ya Ekaristi Takatifu.

 

Fumbo la Ekaristi liwe ni chachu ya huruma, upendo, umoja na mshikamano kwa watu wanaoteseka.

Fumbo la Ekaristi Takatifu liwe ni chachu ya huruma, upendo, umoja na mshikamano kwa wakimbizi na wahamiaji wanaoendelea kufa maji kwenye tumbo la Bahari ya Mediterrania.

Wakumbukwa wahamiaji na wakimbizi wanaokufa maji kila siku!

28/05/2016 07:31

Wimbi kubwa la wakimbizi na wahamiaji ni changamoto kubwa kwa Jumuiya ya Kimataifa. Hawa ni watu wanaokimbia vita, dhuluma, nyanyaso, njaa na magonjwa, lakini kwa bahati mbaya wanakumbana na pazia la chuma! Jumuiya ya Kimataifa inaalikwa kuguswa na mahangaiko ya watu hawa!

Ekaristi Takatifu ni kiini cha maisha na utume wa Kanisa; Ni Sakramenti ya huruma na upendo wa Mungu!

Ekaristi Takatifu ni kiini cha maisha na utume wa Kanisa. Ni Sakramenti ya huruma, upendo na mshikamano wa dhati katika huduma!

Yakhe huo si mchapo wa kuganga njaa! Ni Fumbo la Imani!

26/05/2016 08:06

Ekaristi Takatifu ni Sakramenti inayofunua upendo na huruma ya Mungu kwa binadamu, kiasi hata cha Kristo Yesu kuyamimina maisha yake kwa ajili ya wokovu wa wengi. Ni Sakramenti ya Altare, Kristo anapokutana na waja wake kwa Neno na Mkate wa uzima wa milele!