Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Sheikh Ahmad Muhammad Al Tayyib

Hivi karibuni viongozi wa kidini walifanya mkutano wa kimataifa kupinga uamuzi wa Marekani kuhamishia Ubalozi wake mjini Yerusalemu.

Hivi karibuni, viongozi wa kidini wakifanya mkutano wa kimataifa kupinga uamuzi wa Serikali ya Marekani kuhamishia Ubalozi wake mjini Yerusalemu.

Papa Francisko: Tambueni: Utakatifu, Asili na Ukuu wa Yerusalemu!

26/01/2018 08:13

Baba Mtakatifu Francisko anasema, kuna haja kwa viongozi wa kimataifa na vyama vya kiraia kuheshimu na kuthamini: Utakatifu, Asili na Tunu msingi za Mji wa Yerusalemu unaothaminiwa na waamini wa dini mbali mbali duniani kama kitovu cha amani, utulivu, upatanisho na majadiliano ya kidini!

Baba Mtakatifu Francisko amekutana na Prof.Ahmad Muhammad Al-Tayyib mjini Vatican tarehe 7 Novemba 2017

Baba Mtakatifu Francisko amekutana na Prof.Ahmad Muhammad Al-Tayyib mjini Vatican tarehe 7 Novemba 2017

Baba Mtakatifu Francisko amekutana na Prof.Ahmad Muhammad Al-Tayyib

08/11/2017 09:02

Tarehe 7 Novemba 2017 Baba Mtakatifu Francisko amekutana katika ofisi binafsi ya Ukumbi wa Mwenye heri Paulo VI Imam  Mkuu wa Al- Azhar, Profesa Ahmad Muhammad Al-Tayyib na wajumbe wake.Hii ni kwa mara ya tatu Baba Mtakatifu Francisko kukutana na Kiongozi huyo wa Kiislam 

 

Viongozi wa kidini wanapaswa kushikamana kulinda na kudumisha amani, utu na heshima ya binadamu pasi na ubaguzi.

Viongozi wa kidini wanapaswa kushikamana ili kulinda na kudumisha misingi ya haki, amani na upatanisho kati ya watu wa mataifa. Biashara ya silaha duniani inaendelea kusababisha maafa makubwa kwa watu!

Viongozi wa kidini waunganishe nguvu kujenga na kudumisha amani!

28/04/2017 17:49

Kumekuwepo na maendeleo makubwa ya sayansi na teknolojia katika karne ya ishirini na moja, lakini pia ni kipindi ambacho kimeshuhudia kutoweka kwa misingi ya haki, amani, usalama na maridhiano kati ya watu hasa zaidi kutokana na kukua kwa biashara haramu ya silaha na utepetevu wa imani!

Viongozi wa kidini wanao wajibu wa kulinda, kudumisha na kutetea utu, heshima na haki msingi za binadamu kama msingi wa amani ya kweli!

Viongozi wa kidini wanao wajibu wa kutetea, kulinda na kudumisha: utu, heshima na haki msingi za binadamu kama msingi wa amani ya kweli na dumifu!

Dini ina dhamana ya kuenzi utu, heshima na haki msingi za binadamu!

28/04/2017 10:23

Jumuiya ya Kimataifa inakumbushwa kwamba, amani ya kweli inajengwa na kusimikwa katika: ukweli na haki; upendo na uhuru kamili. Viongozi wa kidini wanayo dhamana ya kusimama kidete kulinda, kudumisha na kuenzi: utu, heshima na haki msingi za binadamu ili kudumisha amani ya kweli!

Baba Mtakatifu Francisko ni mjumbe wa amani na mchungaji mwema anayeguswa na mahangaiko na matumaini ya watu wake!

Baba Mtakatifu Francisko ni mjumbe wa amani na matumaini anayeguswa na mahangaiko ya watu wake!

Hija ya kitume ya Papa Francisko nchini Misri ni mwanzo mwema!

28/04/2017 08:31

Patriaki Ibrahim Isaac Sedrak anasema kwa hakika Papa Francisko ni mjumbe wa amani na matumaini; ni mfano wa nchungaji mwema anayeguswa na shida, mahangaiko na matumaini ya watu wake. Hija ya kitume ya Papa Francisko nchini Misri itasaidia kuimarisha majadiliano ya kidini na kiekumene.

Papa Francisko anakwenda nchini Misri kama mjumbe wa amani, haki na matumaini miongoni mwa familia ya Mungu nchini Misri!

Papa Francisko anakwenda nchini Misri kama mjumbe wa amani, haki na matumaini miongoni mwa familia ya Mungu nchini Misri.

Papa Francisko mjumbe wa amani nchini Misri!

27/04/2017 15:43

Kardinali Pietro Parolin, Katibu mkuu wa Vatican anasema, Baba Mtakatifu Francisko anatambua fika changamoto za ulinzi na usalama; majadiliano ya kidini na kiekumene; misimamo mikali ya kidini na kiimani iliyoko nchini Misri ndio maana ameamua kwenda huko kama mjumbe wa amani na matumaini!

Papa Francisko mjumbe na shuhuda wa amani anatembelea nchini Misri kuanzia tarehe 28 - 29 Aprili 2017

Papa Francisko mjumbe na shahidi wa amani anatembelea nchini Misri kuanzia tarehe 28- 29 Aprili 2017 ili kuwaimarisha ndugu zake katika imani, kukuza na kudumisha majadiliano ya kidini pamoja na kuendeleza majadiliano ya kiekumene.

Papa Francisko mjumbe wa amani nchini Misri

25/04/2017 15:00

Hija ya kitume ya Baba Mtakatifu Francisko nchini Misri inalenga kwanza kabisa kuwaimarisha ndugu zake katika imani, mapendo na matumaini tayari kumshuhudia Kristo na Kanisa lake. Pili ni kukuza na majadiliano ya kidini na Waislam na tatu na kuendeleza uekumene wa damu na Wakristo!

Papa Francisko anasema anakwenda Misri kama rafiki, hujaji, mjumbe wa amani na mpatanishi katika majadiliano ya kidini na kiekumene.

Papa Francisko anasema anakwenda nchini Misri kama rafiki, hujaji na mjumbe wa amani! Anapenda kukoleza majadiliano ya kidini na kiekumene ili kudumisha haki, amani na maridhiano kati ya watu.

Ujumbe wa Papa Francisko kwa familia ya Mungu nchini Misri!

25/04/2017 14:31

Baba Mtakatifu Francisko anasema anapenda kutembelea Misri kuanzia tarehe 28- 29 Aprili 2017 kama: rafiki, mjumbe wa amani na hujaji katika nchi ambayo inautajiri mkubwa katika maisha na historia ya Kanisa! Anataka kukuza na kudumisha majadiliano ya kidini na kiekumene kati ya waamini!