Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Senegal

Nchi za ukanda wa Sahel ni Burkina Faso, Chad, Mali, Mauritania, Niger na Senegal zinakabiliwa na uhaba wa chakula kiasi cha kutisha

Nchi za ukanda wa Sahel ni Burkina Faso, Chad, Mali, Mauritania, Niger na Senegal zinakabiliwa na uhaba wa chakula kiasi cha kutisha

Njaa kubwa inakumba watu wa Afrika hasa katika kanda yote ya Sahel !

19/06/2018 14:23

Hali ya chakula eneo la Sahel inasikitisha kwa mujibu wa ombi lililotolewa mjini New York Marekani na mkuu wa ofisi ya Umoja wa Mataifa ya kuratibu misaada ya kibinadamu (OCHA),Bwana Mark Lowcock wakati akitoa maelezo kuhusu hali ya kibinadamu ilivyo kwa sasa katika eneo hilo. 

Askofu wa Jimbo Katoliki la Ziguinchor analalamika juu ya vurugu mpya huko Casamance nchini Senegal

Askofu wa Jimbo Katoliki la Ziguinchor analalamika juu ya vurugu mpya huko Casamance nchini Senegal

Askofu wa Jimbo la Ziguinchor-Senegal anawataka waamini kuombea amani!

11/04/2018 12:51

Askofu Paul Abel Mamba,wa jimbo la Ziguinchor,Mji mkuu wa  Casamance Mashariki ya nchi ya Senegal wakati wa mahubiri ya Sikukuu ya Pasaka, ametoa malalamiko juu ya ghasia zilizotokea mwezi Januari mwaka huu na kwamba, huo ni mwendelezo wa vita wakati wa uchaguzi mkuu wa mwaka 1982