Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Seminari

Kardinali Ferdinando Filoni miezi ya hivi karibuni amewateua gombera wapya wawili katika nchi ya Camerun na Zimbabwe.

Kardinali Ferdinando Filoni miezi ya hivi karibuni amewateua gombera wapya wawili katika nchi ya Camerun na Zimbabwe.

Gombera wapya katika Seminari Shirikishi za majimbo ya Camerun na Zimbawe

08/09/2017 16:02

Kardinali Ferdinando Filoni Rais wa Baraza la Kipapa kwa ajili ya Uinjilishaji wa watu miezi ya hivi karibuni amewateua Gombera mpya Padre Andre Pekeu wa Seminari shirikishi nchini Camerun  pia Gombera mpya Padre Andrew Lastborn Foto katika Seminari Shirikishi ya Majimbo ya Harare Zimbabwe 

 

Mwongozo wa Malezi ya Kipadre unapania kuboresha: wito, maisha na utume wa Kipadre miongoni mwa watu wa Mungu.

Mwongozo wa Malezi ya Kipadre unapania kuboresha: wito, maisha na utume wa Kipadre miongoni mwa watu wa Mungu.

Mwongozo wa Malezi ya Kipadre

17/12/2016 13:50

Daraja Takatifu ya Upadre ni zawadi kubwa kutoka kwa Mwenyezi Mungu inayohifadhiwa kwenye vyombo vya udongo kutokana na changamoto mbali mbali zinazoendelea kuwaandama Wakleri! Baraza la Kipapa kwa ajili ya Wakleri limetoa Mwongozo unaopania kuboresha maisha na utume wa Kipadre!

Majiundo makini ya Majandokasisi Pwani ya Pembe

Baraza la Maaskofu Katoliki Pwani ya Pembe linakazia majiundo makini ya majandokasisi.

Maaskofu Pwani ya Pembe wakazia majiundo makini Seminarini

27/03/2015 10:41

Baraza la Maaskofu Katoliki Pwani ya Pembe katika mkutano wake wa mia moja limekazia umuhimu wa melezi na makuzi ya majandokasisi, mafundisho tanzu ya Kanisa, ukata na changamoto kwa shule za Kanisa.