Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Sekretarieti ya Mawasiliano Vatican

Tangu sasa, Sekretarieti ya Mawasiliano Vatican itajulikana kama Baraza la Kipapa la Mawasiliano.

Tangu sasa, Sekretarieti ya Mawasiliano Vatican itajulikana kama Baraza la Kipapa la Mawasiliano.

Baraza la Kipapa la Mawasiliano!

23/06/2018 17:10

Baba Mtakatifu Francisko ameamua kwamba, Sekretarieti ya Mawasiliano Vatican kuanzia sasa itambulikane kama "Baraza la Kipapa la Mawasiliano" linalounganisha: Radio Vatican, Kituo cha Televisheni cha Vatican pamoja na Gazeti la L'Osservatore Romano na hivyo kuunda "Vatican Media".

 

Uandishi wa habari kuhusu Papa na Bwana Scarfali katika Gazeti lake la haukuwa wa kiaminifu

Uandishi wa habari kuhusu Papa na Bwana Scarfali katika Gazeti lake la haukuwa wa kiaminifu

Habari iliyotolewa na Gazeti la Repubblica juu ya Papa si ya kuaminika!

30/03/2018 15:51

Ofisi ya habari  Vatican inatoa maelezo  kuhusu habari uliyotangazwa katika Gazeti la Repubblica nchini Italia  juu ya Papa Francisko alipokutana hivi karibuni na Mkurugenzi wa gazeti hilo kwamba, habari hiyo siyo ya kuaminika kwa mujibu wa  maneno ya Papa kama ilivyotolewa katika Gazeti hilo.

 

Monsinyo Dario Edoardo Viganò ameng'atuka madarakani kama Mwenyekiti wa Sekretarieti ya Mawasiliano mjini Vatican.

Monsinyo Dario Edoardo Viganò ameng'atuka kutoka madarakani kama Mwenyekiti wa Sekretarieti ya Mawasiliano mjini Vatican.

Monsinyo Dario Eduardo Viganò ang'atuka kutoka madarakani!

21/03/2018 15:07

Monsinyo Dario Edoardo Viganò aliteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Sekretarieti ya Mawasiliano mjini Vatican kuanzia mwaka 2015 amemwandikia Baba Mtakatifu Francisko barua ya kung'atuka kutoka madarakani, ili asiwe ni kikwazo cha mageuzi yaliyoridhiwa na Baraza la Makardinali na Papa amekubali ombi lake!

Bara la Afrika linapaswa kuwekeza zaidi katika rasilimali fedha na watu kwenye maendeleo ya sayansi na teknolojia ya mawasiliano ya jamii.

Bara la Afrika linapaswa kuwekeza zaidi katika rasilimali fedha na watu kwenye maendeleo ya sayansi na teknolojia ya mawasiliano kwa kukazia ukweli na amani duniani.

Bara la Afrika na changamoto ya teknolojia ya mawasiliano ya jamii!

16/03/2018 08:22

Baba Mtakatifu Francisko katika mchakato mzima wa mabadiliko katika Sekretarieti kuu ya Vatican anapenda kuliangalia Bara la Afrika kwa jicho la upendeleo hususan katika maendeleo ya sayansi na teknolojia ya mawasiliano ya jamii, ili Kanisa liendelee kuwa kweli ni sauti ya kinabii duniani!

Watumiaji wa Mtandao wa "Vatican News" wamefikia zaidi ya milioni 4.

Watumiaji wa Mtandao wa Vatican News hadi sasa wamefikia zaidi ya milioni 4.

Watu milioni 4 wanafuatilia mtandao wa "Vatican New"

10/01/2018 09:39

Matunda ya mchakato wa mageuzi na maboresho ya vyombo vya mawasiliano ya jamii vinavyomilikiwa na kuendeshwa na Vatican yanaanza kuonekana baada ya kuanzishwa kwa mtandao wa "Vatican News" unaowawezesha watu kupata habari mbali mbali kwa urahisi zaidi kutoka ndani na nje ya Vatican.

 

Mwenyekiti wa Sekretarieti ya Mawasiliano Vatican akibadilisha sahini za ushirikiano  na Mkurugenzi wa RAI

Mwenyekiti wa Sekretarieti ya Mawasiliano Vatican akibadilisha sahini za ushirikiano na Mkurugenzi wa RAI

Televisheni:Makubaliano kati ya Sekretarieti ya Mawasiliano Vatican na RAI

20/12/2017 16:08

Kwa kutia sahini upya protokali hizo katika tukio muhimu la ushirikiano kati ya Rai na Sekretarieti ya Mawasiliano Vatican ni ishara ya kina katika kuimarisha ushirikiano na  urafiki.Amethibitisha maneno hayo Bwana Mario Orfeo,Mkurugenzi Mkuu wa Rai akifafanua juu ya Protokali za Makubaliano

 

Matunda ya mageuzi makubwa yanayofanywa na Papa Francisko kwa kutoa ajira za kudumu kwa wafanyakazi wa Sekretarieti ya Mawasiliano mjini Vatican.

Matunda ya mageuzi makubwa yanayofanywa na Baba Mtakatifu Francisko yameanza kuonekana kwa Vatican kutoka ajira ya kudumu kwa wafanyakazi kadhaa ya Sekretarieti ya mawasiliano mjini Vatican.

Wafanyakazi wa Sekretarieti ya Mawasiliano waungama na kula kiapo!

20/12/2017 07:00

Matunda ya mchakato wa mageuzi yanayofanywa na Baba Mtakatifu Francisko kwenye Sekretarieti kuu yaanza kuonekana kwa baadhi ya wafanyakazi 44 wa Sekretarieti ya Mawasiliano mjini Vatican waliotumikia kwa muda mrefu kula kiapo na kukiri Kanuni ya Imani kama sehemu ya masharti ya ajira ya kudumu!

Monsinyo Vigano' anasema, Mawasiliano ya Papa Francisko ni rahisi na yenye maana katika ulimwengu kwa maana ni ya moja kwa moja !

Monsinyo Vigano' anasema, Mawasiliano ya Papa Francisko ni rahisi na yenye maana katika ulimwengu kwa maana ni ya moja kwa moja

Mons.Viganò:Mawasiliano ya Papa Francisko ni rahisi na ya moja kwa moja!

10/11/2017 09:20

Tabia ya Baba Mtakatifu katika mawasiliano daima ni nyepesi,mtazamo na ishara zake ndiyo mtindo wake. Ni maneno ya Monsinyo Dario Vigano’ Mwenyekiti wa Sekretarieti ya Mawasiliano Vatican wakati wa kuwasilisha Toleo Jipya la Kitabu kinacho eleza historia mawasiliano ya  Papa Francisko