Mitandao ya kijamii:

RSS:

App:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Sekretarieti ya Baraza Kuu la Sinodi za Maaskofu

Familia bado ni sehemu ya Habari Njema ya Wokovu kwa walimwengu anasema Papa Francisko!

Familia bado ni sehemu ya Habari Njema ya Wokovu anasema Papa Francisko katika barua yake kwa Maaskofu Katoliki sehemu mbali mbali za dunia kama sehemu ya maandalizi ya Siku ya Tisa ya Familia Duniani, itakayoadhimishwa mwaka 2018 huko Dublin, nchini Ireland.

Iweni mashuhuda na vyombo vya Injili ya familia duniani!

20/04/2017 08:45

Baba Mtakatifu Francisko anaendelea kuwamasisha waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema kutambua kwamba, familia bado ni sehemu muhimu sana ya Habari Njema inayopaswa kutangazwa na kushuhudiwa ulimwenguni kwa kujikita katika tunu msingi za maisha ya kifamilia!

Papa Francisko anataka Sinodi ya Vijana iwe kweli ni kwa ajili pamoja na vijana wa kizazi kipya!

Papa Francisko anataka Sinodi ya Maaskofu kwa ajili ya vijana iwe kweli ni kwa ajili pamoja na vijana!

Papa Francisko anawataka vijana kuwa mashuhuda wa furaha ya Injili

08/04/2017 13:30

Mama Kanisa anaendelea kujizatiti zaidi na zaidi katika maisha na utume kwa vijana wa kizazi kipya kwa njia ya maadhimisho ya Siku za Vijana, Kitaifa, Kikanda na Kimataifa na hasa wakati huu anataka kuwasikiliza zaidi vijana wa kizazi kipya ili kuandamana nao, kwa kuwajengea uwezo thabiti!

Kanisa linapenda kuwakumbusha vijana kwamba, wao ndio wahusika na walengwa wakuu wa Sinodi ya Maaskofu kwa ajili ya vijana kwa Mwaka 2018.

Kanisa linapenda kuwakumbusha vijana kwamba, wao ndio walengwa na wahusika wakuu katika maadhimisho ya Sinodi ya Maaskofu kwa ajili ya vijana itakayoadhimishwa mwezi Oktoba 2018.

Vijana ninyi ni majembe mazito ya Kanisa!

07/04/2017 13:30

Kanisa linapaswa kusoma alama za nyakati, ili kuwasaidia vijana sehemu mbali mbali za dunia kukabiliana na matatizo, changamoto na fursa zilizopo ili kuboresha maisha yao: kiroho na kimwili tayari kumshuhidia Kristo Yesu aliyeteswa, akafa na kufufuka kwa wafu, kiini cha imani ya Kanisa!

Mama Kanisa anataka kuwasikiliza vijana ili kuwapatia majibu muafaka kadiri ya mwanga wa Injili!

Mama Kanisa anataka kuwasikiliza vijana ili kuwapatia majibu muafaka minatarafu mwanga wa Injili ya Kristo!

Kanisa linataka kuwasikiliza vijana! Haya vijana kazi kwenu!

06/04/2017 07:25

Maadhimisho ya Siku ya Vijana Kijimbo, Kitaifa na Kimataifa sanjari na maadhimisho ya Sinodi ya Maaskofu kwa ajili ya vijana itakayofanyika mjini Vatican mwezi Oktoba 2018 ni fursa ambazo Mama Kanisa anapenda kuwasikiliza na kusindikizana na vijana katika mchakato wa maisha yao ya kila siku!

Kanisa linajiandaa kuadhimisha Sinodi ya Maaskofu kwa ajili ya vijana kunako mwaka 2018

Mama Kanisa anaendelea na maandalizi ya maadhimisho ya Sinodi ya Maaskofu kwa ajili ya vijana itakayoadhimishwa kunako mwaka 2018 kwa kuongozwa na mada: vijana, imani na mang'amuzi ya miito mbali mbali!

Mchakato wa maadhimisho ya Sinodi ya Maaskofu kwa vijana!

24/11/2016 09:33

Mama Kanisa anaendelea na maandalizi makini kwa ajili ya maadhimisho ya Sinodi ya Maaskofu kwa vijana itakayoadhimishwa kunako mwaka 2018. Maandalizi haya yanajikita kwa namna ya pekee katika tema inayogusia "Vijana, Imani na Mang'amuzi ya miito" ambayo inafanyiwa kazi kwa sasa.