Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Saratani ya rushwa

maisha ya watu wa Venezuela yako hatarini kutokana na sera mbovu za kisiasa

maisha ya watu wa Venezuela yako hatarini kutokana na misingi mibovu ya sera za kisiasa

Maaskofu wa Venezuela wameitaka serikali kuinua hali za maisha ya watu!

15/01/2018 16:16

Wakati hitimisho la Mkutano wa mwaka wa Baraza la Maaskofu wa Venezuela hukoCaracas,Maaskofu wametoa wito wa nguvu na kutangaza ujumbe huo kwa umma wakiwa wanatoa ushauri,lakini pia kushutumu vikali sera za kisiasa za serikali ambayo imesababisha nchi kuingia katika kipeo cha uchumi 

 

Papa Francisko wakati akirejea kutoka Colombia amepata nafasi ya kuzungumza na waandishi wa habari waliokuwa kwenye msafara wake.

Papa Francisko wakati akirejea mjini Vatican kutoka kwenye hija yake ya kitume nchini Colombia amepata nafasi ya kuzungumza na waandishi wa habari waliokuwa kwenye msafara wake.

Papa Francisko achonga na waandishi wa habari wakati akirejea Vatican

12/09/2017 09:49

Baba Mtakatifu Francisko wakati akirejea mjini Vatican amepata bahari ya kuzungumza na waandishi wa habari kwa kukazia umuhimu wa kuwapokea na kuwatunza wakibizi na wahamiaji; athari za mabadiliko ya tabianchi za wajibu wa kimaadili; misingi ya haki, amani na upatanisho na utume kwa vijana!

Kikundi cha Washauri wa Kimataifa kuhusu haki katika Baraza la Kipapa la Maendeleo endelebu ya binadamu kinaanzisha kampeni dhidi ya rushwa.

Kikundi cha Washauri wa Kimataifa kuhusu Haki kwenye Baraza la Kipapa la huduma ya maendeleo endelevu ya binadamu kinapania kuanzisha kampeni dhidi ya rushwa na ufisadi sehemu mbali mbali za dunia.

Mapambano dhidi ya saratani ya rushwa na ufisadi duniani!

03/08/2017 15:31

Baraza la Kipapa la Huduma ya Maendeleo Endelevu ya Binadamu limeanza kujipanga ili hatimaye, kuzindua mpango mkakati wa kupambana na saratani ya rushwa kwa kuwajengea wananchi uwezo wa kutambua, kupambana pamoja na kusimama kidete katika kupinga vitendo vyote vya rushwa na ufisadi!

Kikundi cha Washauri wa Kimataifa kuhusu haki katika Baraza la Kipapa la Maendeleo endelebu ya binadamu kinaanzisha kampeni dhidi ya rushwa.

Kikundi cha Washauri wa Kimataifa kuhusu Haki kwenye Baraza la Kipapa la huduma ya maendeleo endelevu ya binadamu kinapania kuanzisha kampeni dhidi ya rushwa na ufisadi sehemu mbali mbali za dunia.

Mapambano dhidi ya saratani ya rushwa na ufisadi duniani!

03/08/2017 15:31

Baraza la Kipapa la Huduma ya Maendeleo Endelevu ya Binadamu limeanza kujipanga ili hatimaye, kuzindua mpango mkakati wa kupambana na saratani ya rushwa kwa kuwajengea wananchi uwezo wa kutambua, kupambana pamoja na kusimama kidete katika kupinga vitendo vyote vya rushwa na ufisadi!

Papa Francisko: Vijana Brazil, jengeni jamii inayosimikwa katika tunu msingi za kiinjili dhidi ya rushwa na ufisadi.

Papa Francisko: Vijana Brazila jengeni jamii inayosimikwa katika tunu msingi za Kiinjili dhidi ya ufisadi na rushwa.

Vijana jengeni jamii isiyopekenyuliwa na rushwa pamoja na ufisadi!

02/08/2017 15:28

Baba Mtakatifu Francisko anawataka vijana nchini Brazil kujizatiti katika mchakato wa ujenzi wa jamii mpya inayofumbatwa katika tunu msingi za Kiinjili. Lengo liwe ni kuyachachua malimwengu kwa ushuhuda wa utakatifu wa maisha; kwa kuonesha ujasiri wa kupambana na rushwa na ufisadi wa mali ya umma.

Saratani ya rushwa ina madhara yake katika medani mbali mbali za maisha ya binadamu!

Saratani ya rushwa ina madhara makubwa katika medani mbali mbali za maisha ya binsamu.

Saratani ya rushwa na ufisadi inavyoisambaratisha jamii!

22/07/2017 09:22

Rushwa na ufisadi ni saratani inayosambaratisha mafungamano na mshikamano wa kijamii katika medani mbali mbali za maisha ya binadamu. Rushwa inatia doa uhusiano kati ya Mungu na binadamu kumbe, haina budi kushughulikiwa kwa kujikita katika: uaminifu, uadilifu, utu wema, unyofu na sheria!

Papa Francisko asema, vyama vya wafanyakazi vinapaswa kulinda na kutetea haki msingi za wafanyakazi na kuwa ni sauti ya wanyonge.

Papa Francisko asema, vyama vya wafanyakazi vinapaswa kusimama kidete kulinda, kutetea na kudumisha haki msingi za wafanyakazi na kuendelea kuwa ni sauti ya wanyonge ndani ya jamii.

Vyama vya wafanyakazi visimame kidete kutetea haki za wafanyakazi!

30/06/2017 07:43

Baba Mtakatifu Francisko anasema vyama vya wafanyakazi vina wito na dhamana muhimu sana kwani vinapaswa kusimama kidete kulinda, kutetea na kudumisha haki msingi za wafanyakazi! Vinapaswa kuwa ni sauti ya wanyonge, lakini vikiendekeza rushwa na ufisadi, vitakuwa ni kikwazo cha haki!

Rushwa na ufisadi vimekuwa ni chanzo kikuu cha maafa ya binadamu!

Rushwa na ufisadi vimekuwa ni chanzo kikuu cha maafa na majanga makubwa katika maisha ya mwanadamu!

Rushwa na ufisadi ni chanzo cha majanga na maafa ya binadamu!

16/06/2017 15:27

Baba Mtakatifu Francisko anampongeza Kardinali Peter Turkson kwa kuandika kitabu ambacho kimechambua kwa kina na mapana dhana ya rushwa katika medani mbali mbali za maisha ya mwanadamu na jinsi ya kupambana na rushwa ambayo kwa sasa imekuwa ni saratani inayokwamisha maendeleo.