Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Sala ya Kikristo chimbuko ni imani na ujasiri

Papa Francisko asema, Sala ya Kikristo inapata chimbuko lake katika imani na ujasiri wa kuthubutu kutenda!

Papa Francisko asema, Sala ya Kikristo inapata chimbuko lake katika imani na ujasiri wa kuthubutu kutenda!

Papa Francisko: Imani na Ujasiri ni chimbuko la Sala ya Kikristo!

12/01/2018 11:02

Baba Mtakatifu Francisko katika mahubiri yake anasema, Sala ya Kikristo inapata chimbuko lake katika imani kwa Kristo na Kanisa lake na ina mwilishwa kwa namna ya pekee katika ujasiri unaomsukuma mwamini kuthubutu kuomba kama ilivyokuwa kwa mgonjwa mwenye ukoma na yule aliyekuwa amepooza!