Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Sala na kazi

Kardinali Bassetti asema, Bara la Ulaya bado lina kiu ya tunu msingi za Kikristo!

Kardinali Bassetti asema, Bara la Ulaya bado lina kiu ya tunu msingi za Kikristo!

Kardinali Bassettti: Ulaya bado ina kiu ya tunu msingi za Kikristo!

11/07/2018 16:58

Baba Mtakatifu Francisko katika maadhimisho ya Siku kuu ya Mtakatifu Benedikto Abate anasema, umefika wakati kwa Bara la Ulaya kugundua tena fadhila ya matumaini, kwa kumweka mwanadamu kuwa ni kiini cha taasisi zake. Kardinali Bassetti anakaza kusema, Ulaya ina kiu ya tunu msingi za Kikristo!

Kuutafuta Uso wa Mungu ni Waraka wa Papa Francisko kwa Wamonaki ili kuweza kukabiliana na changamoto mamboleo, daima wakiwa waaminifu kwa Kristo Yesu!

Kuutafuta Uso wa Mungu ni Waraka wa Papa Francisko kwa Wamonaki, ili kuweza kukabiliana na changamoto mamboleo.

Changamoto ya maisha ya kitawa katika kuutafuta Uso wa Mungu!

01/02/2018 06:58

Baba Mtakatifu Francisko katika Katiba ya Kitume "Vultum Dei Quaerere", yaani "Kuutafuta Uso wa Mungu anabainisha mambo msingi yanayopaswa kuzingatiwa na wamonaki katika maisha na utume wao, ili kuweza kukabiliana na changamoto mamboleo, tayari kutoa ushuhuda wenye mvuto na mashiko!