Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Sala kwa ajili ya Sinodi

Nia ya Maombi ya sala kwa mwezi wa 12 ni kwa ajili ya wazee wasisahuliwe

Nia ya Maombi ya sala kwa mwezi wa 12 ni kwa ajili ya wazee wasisahuliwe

Nia ya Maombi ya sala kwa mwezi wa 12 ni kwa ajili ya wazee wasisahuliwe!

05/12/2017 15:50

Utunzaji wa wazee ni muhimu kwa kuendeleza elimu kwa kizazi endelevu.Ndiyo ujumbe mkuu wa Baba Mtakatifu Francisko kwa njia ya video akiwakilisha nia ya sala kwa mwezi wa kumi na mbli.Anasisitizia juu ya kutazama na kujifunza kutoka katika hekima ya mababu na nafasi iliyopo katika jumuiya.

 

Siku kuu ya Bikira Maria kupashwa habari

Siku kuu ya Bikira Maria kupashwa habari ni mwanzo wa maadhimisho ya Fumbo la Umwilisho.

Sala kwa ajili ya kuombea Sinodi ya Familia

25/03/2015 09:47

Baba Mtakatifu Francisko anabainisha kwamba, Fumbo la Umwilisho linaonesha uhusiano mkubwa ulipo kati ya Kanisa, Familia, na Injili ya Uhai. Waamini wanaalikwa kwa namna ya pekee kabisa kusimama kidete kulinda, kutangaza na kushuhudia Injili ya Uhai na Familia.