Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Sala

Papa Francisko anawataka waamini kuzingatia: kumbu kumbu, sala na utume wa Kanisa.

Papa Francisko anawataka waamini kuzingatia kumbu kumbu, sala na utume wa Kanisa katika hija ya maisha yao hapa duniani, kwa kutambua kwamba, hapa duniani ni wasafiri na hawana makao ya kudumu!

Papa Francisko: Zingatieni kumbu kumbu endelevu, sala na utume!

26/05/2017 16:32

Baba Mtakatifu Francisko anawakumbusha waamini na watu wote wenye mapenzi mema kuhakikisha kwamba, wanazingatia kumbu kumbu endelevu siku ile walipokutana na Yesu kwa mara ya kwanza katika maisha; wazame katika taamuli na sala, ili kuweza kushiriki kikamilifu katika utume wa Kanisa!

Mwaka wa huruma ya Mungu umewawezesha watu wengi kuguswa na huruma na upendo wa Mungu kutoka kwa Kristo  na Kanisa lake!

Mwana wa huruma ya Mungu umewawezesha watu wengi kuguswa na huruma na upendo wa Mungu unaobubujika kutoka kwa Kristo Yesu na Kanisa lake anasema Askofu mkuu Yuda Thaddeus Ruwaichi wa Jimbo kuu la Mwanza, Tanzania.

Matunda ya Maadhimisho ya Mwaka wa huruma, Jimbo kuu la Mwanza!

20/04/2017 11:00

Askofu mkuu Yuda Thaddeus Ruwaichi wa Jimbo kuu la Mwanza, Tanzania anasema, baada ya familia ya Mungu Jimbo kuu la Mwanza kukitumia vyema kipindi cha maadhimisho pamoja na nyongeza yake, Jumapili ya huruma ya Mungu, tarehe 23 Aprili 2017 wanaufunga rasmi mwaka wa huruma, lakini...!

Patriaki Cyril wa Moscow na Russia nzima anawataka waamini kuonesha umoja na mshikamano wao na Kristo Mfufuka kwa: Sala, Neno na ushuhuda wa huduma!

Patriaki Cyril wa Moscow na Russia nzima anawaalika waamini kuonesha umoja na mshikamano wao na Kristo Mfufuka kwa njia ya: Sala na Ibada, Tafakari ya Neno la Mungu, Sakramenti za Kanisa, Amri za Mungu, lakini zaidi kwa njia ya huduma makini, kielelezo cha imanio tendaji!

Onesheni na kushuhudia mshikamano na Kristo Mfufuka!

18/04/2017 11:46

Patriaki Cyril wa Kanisa la Kiorthodox la Moscow na Russia nzima katika ujumbe wake kwa Pasaka anawataka waamini wote kuonesha na kushuhudia mshikamano wao na Kristo Mfufuka kwa njia ya maisha ya sala, tafakari ya Neno la Mungu, amri za Mungu lakini zaidi kwa njia ye huduma ya upendo.

Askofu mkuu Ruwaichi anawaalika waamini kujiandaa vyema ili kushiriki kikamilifu Fumbo la Pasaka, yaani mateso, kifo na ufufuko wa Kristo Yesu.

Askofu mkuu Yuda Thaddeus Ruwaichi wa Jimbo kuu la Mwanza anawaalika waamini kujiandaa vyema kuadhimisha Fumbo la Pasaka,yaani mateso, kifo na ufufuko wa Kristo Yesu.

Jiandaeni vyema kuadhimisha Fumbo la Pasaka

12/04/2017 10:40

Askofu mkuu Yuda Thaddeus Ruwaichi anawaalika waamini kujiandaa kikamilifu katika maadhimisho ua Fumbo la Pasaka; kwa toba na wongofu wa ndani; kwa sala na tafakari ya kina ya Neno la Mungu; Sakramenti za Kanisa na matendo ya huruma, ili kufundwa a kugangwa na neema ya Mungu katika maisha!

Mpango mkakati wa saa 24 kwa ajili ya Bwana ni muda wa sala, Ibada ya Kuabudu Ekaristi takatifu na Upatanisho.

Mpango mkakati wa saa 24 kwa ajili ya Bwana ni muda wa sala, Ibada ya Kuabudu Ekaristi Takatifu pamoja na kujipatanisha na Mungu kwa njia ya Sakramenti ya Upatanisho.

Mkakati wa Saa 24 kwa ajili ya Bwana! Kipindi cha Sala na toba!

20/03/2017 07:36

Nataka rehema, wala si sadaka ndiyo kauli mbiu inayoongoza maadhimisho ya Mkakati wa Saa 24 kwa ajili ya Bwana utakaoadhimishwa tarehe 24- 25 Machi 2017 kabla ya Jumapili ya IV ya Kipindi cha Kwaresima. Hiki ni kipindi cha Sala, Ibada ya Kuabudu Ekaristi na kupokea Sakramenti ya Upatanisho.

Ghana inaadhimisha Kumbu kumbu ya Miaka 40 ya Uhusiano wa kidiplomasia na Vatican na Miaka 60 ya Uhuru wake

Ghana inaadhimisha kumbu kumbu ya miaka 40 ya uhusiano wa kidiplomasia na Vatican na miaka 60 ya uhuru kutoka kwa Waingereza kunako tarehe 6 Machi 1957.

Familia ya Mungu Ghana yawekwa wakfu kwa Moyo Mtakatifu wa Yesu!

07/03/2017 08:04

Kardinali Giuseppe Bertello, mwakilishi maalum wa Baba Mtakatifu Francisko katika maadhimisho ya Kumbu kumbu ya miaka 40 ya uhusiano wa kidiplomasia kati ya Ghana na Vatican sanjari na kumbu kumbu ya miaka 60 ya uhuru wa Ghana, ameiweka Ghana wakfu kwa Moyo Mtakatifu wa Yesu.

Jumatano ya majivu inafungua rasmi Kipindi cha Kwaresima, Siku 40 za Sala, Sadaka, Tafakari na Matendo ya huruma.

Jumatano ya Majivu inafungua rasmi kipindi cha Kwaresima; muda muafaka uliokubalika kwa: Sala, Sadaka. Tafakari ya Neno la Mungu inayomwilishwa katika matendo ya huruma: kiroho na kimwili.

Kwaresima iwasaidie waamini kujiandaa kusherehekea Fumbo la Imani

28/02/2017 16:07

Kwa waamini kupakwa majivu, wanakumbushwa kwamba, wao ni mavumbi na mavumbi watarudi, changamoto kubwa ni kupyaisha maisha ya kiroho kwa njia ya: Sala, sadaka, tafakari ya kina ya Neno la Mungu pamoja na matendo ya huruma: kiroho na kimwili kama njia ya kukutana na Kristo Mfufuka!

 

Mapadre wanatakiwa kuwa ni vyombo vya haki na mapendo; huruma na msamaha bila kumezwa na malimwengu!

Mapadre wanatakiwa kuwa ni vyombo vya haki na mapendo; huruma na msamaha bila kumezwa na malimwengu kwani huko watakiona cha mtema kuni!

Mapadre kuweni mashuhuda na vyombo vya haki, msimezwe na malimwengu

19/10/2016 11:53

Mapadre wanahamasishwa kwa namna ya pekee kuwa ni vyombo vya haki na mapendo; kamwe wasikubali kumezwa na malimwengu kwani huko watakiona cha mtema kuni na kwamba, wanatakiwa kuwa kweli ni vyombo na mashuhuda wa huruma na upendo wa Mungu unaomwilishwa katika matendo!

Sala