Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Sakramenti ya umoja

Roho Mtakatifu ni paji la Mungu. Anatakasa, anahuisha, anatakasa Kanisa na ni Sakramenti ya umoja wa Utatu Mtakatifu na wa watu.

Roho Mtakatifu ni paji la Mungu. Anajenga, anahuisha na kulitakasa Kanisa; ni Sakramenti ya umoja wa Utatu Mtakatifu na wa watu!

Sherehe ya Pentekoste, kuzaliwa kwa Kanisa!

16/05/2018 15:44

Nasadiki kwa Roho Mtakatifu, Bwana mleta uzima: atokaye kwa Baba na Mwana. Anayeabudiwa na kutukuzwa pamoja na Baba na Mwana: aliyenena kwa vinywa vya Manabii. Hii ndiyo imani ya Kanisa juu ya Roho Mtakatifu, Nafsi ya Tatu katika Fumbo la Utatu Mtakatifu; Sakramenti ya Umoja!

 

Papa Francisko anawataka Maaskofu Katoliki Perù kujikita katika umoja wa matumaini unaofumbatwa katika huduma, utamadunisho, malezii na uinjilishaji!

Papa Francisko anawataka Maaskofu Katoliki wa Perù kujikita katika ujenzi wa umoja wa matumaini yanayofumbatwa katika huduma, uinjilishaji, utamadunisho, malezi ili kudumisha umoja wa Kanisa.

Papa Francisko akazia: Huduma ya upendo, utamadunisho, malezi na umoja

22/01/2018 13:30

Baba Mtakatifu Francisko anawataka Maaskofu Katoliki Perù kujenga na kudumisha umoja wa matumaini unaofumbata huduma ya upendo kwa watu wa Mungu nchini humo, kama sehemu ya mchakato wa uinjilishaji na utamadunisho wa Habari Njema ya wokovu inayosimikwa katika umoja wa Kanisa!