Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Sakramenti ya Ubatizo

Fumbo la Pasaka ni kiini cha Habari Njema ya Wokovu!

Fumbo la Pasaka ni kiini cha Habari Njema ya Wokovu.

Fumbo la Pasaka ni kiini cha imani inayotangazwa na kushuhudiwa!

13/07/2018 16:33

Waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema Amerika ya Kusini wanapaswa kuwa ni mashuhuda na vyombo vya utangazaji na ushuhuda wa furaha ya Injili unaofumbatwa kwa namna ya pekee katika Fumbo la Pasaka, yaani: Mateso, Kifo na Ufufuko wa Kristo Yesu kwa wafu! Kiini cha imani ya Kanisa.

Fumbo la Utatu Mtakatifu ni msingi wa imani, maisha na utume wa Kanisa.

Fumbo la Utatu Mtakatifu ni msingi wa imani, maisha na utume wa Kanisa.

Sherehe ya Utatu Mtakatifu: Umoja, Ukuu, Uweza na Utakatifu wa Mungu

26/05/2018 08:29

Tunasadiki kwa nguvu na tunakiri wzzi kwamba kuna Mungu Mmoja tu, wa kweli, wa milele, Mkuu, asiyebadilika, asiyetambulika, Mwenye uwezo wote, asiyeelezeka, Baba na Mwana na Roho Mtakatifu: Nafsi Tatu, lakini uwapo mmoja tu, uwamo mmoja tu au asili moja tu!

Waamini kwa namna ya pekee kabisa wanampokea Roho Mtakatifu kwa njia ya Sakramenti ya Kipaimara.

Waamini kwa namna ya pekee kabisa wanampokea Roho Mtakatifu kwa njia ya Sakramenti ya Kipaimara.

Sakramenti ya Kipaimara inawawezesha waamini kuwa mashuhuda wa Kristo

23/05/2018 14:29

Waamini kwa namna ya pekee kabisaq wanampokea Roho Mtakatifu katika Sakramenti ya Kipaimara, zawadi ya Baba, inayowaongoza waamini ili waweze kuwa kweli ni chumvi ya dunia na mwanga wa mataifa kwa kutenda kadiri ya mwanga na karama ya Roho Mtakatifu katika maisha yao!

Shirika la Roho Mtakatifu lilianzishwa kunako tarehe 27 Mei 1703 na kujiweka wakfu chini ya Roho Mtakatifu na Bikira Maria Mkingiwa Dhambi ya Asili.

Shirika la Roho Mtakatifu lilianzishwa kunako tarehe 27 Mei 1703 katika Sherehe ya Pentekoste na kujiweka chini ya ulinzi na tunza ya Roho Mtakatifu na B. Maria Mkingiwa Dhambi ya asili.

Miaka 315 ya maisha na utume wa Shirika la Roho Mtakatifu!

21/05/2018 15:14

Roho Mtakatifu ni Nafsi ya tatu katika Fumbo la Utatu Mtakatifu. Ni Bwana mleta uzima; atokaye kwa Baba na Mwana. Anayeabudiwa na kutukuzwa pamoja na Baba na Mwana: Aliyenena kwa vinywa vya Manabii. Shirika la Roho Mtakatifu, Sherehe ya Pentekoste 27 Mei 1703 likaanzishwa, huko Ufaransa.

Katika katekesi ya tarehe 16 Mei, Papa Francisko amehitimisha maelezo ya liturujia ya Ubatizo

Katika katekesi ya tarehe 16 Mei, Papa Francisko amehitimisha maelezo ya liturujia ya Ubatizo

Katika Katekesi Papa amehitimisha Liturujia ya Sakramenti ya Ubatizo!

16/05/2018 15:16

Leo hii tunamalizia mzunguko wa Katekesi ya Ubatatizo.Matokeo ya kiroho katika sakramenti hii inayo onekana kwa macho,hufanya  kazi ndani ya moyo wa  kiumbe mpya kutokanana tendo la kupokea nguo nyeupe na mshumaa unao waka. AmesemaPapa wakati wa Katekesi yake 16 Mei 2018, Vatican

 

 

Ubatizo unamaanisha na kudhihirisha mauti ya dhambi na kuingia katika uzima wa Fumbo la Utatu Mtakatifu.

Ubatizo unamaanisha na kudhihirisha mauti kwa dhambi na kuingia katika uzima wa Fumbo la Utatu Mtakatifu.

Papa Francisko: Ubatizo ni kuzamishwa katika Fumbo la Pasaka!

09/05/2018 14:32

Baba Mtakatifu Francisko anasema, kwa njia ya Sakramenti ya Ubatizo waamini wanazamishwa katika Fumbo la Pasaka ya Kristo kwa kufa na kuzaliwa upya kwa Maji na Roho Mtakatifu. Kwa njia hii, utu wa zamani ambao umeharibiwa kutokana na dhambi unazikwa katika Kisima cah Ubatizo!

Papa Francisko akifafanua  misingi mikuu ya kuweza kupokea Sakramenti ya Ubatizo amesema,inabidi kuchagua, kati ya kukaa na Mungu vizuri au shetani

Papa Francisko akifafanua misingi mikuu ya kuweza kupokea Sakramenti ya Ubatizo amesema,inabidi kuchagua, kati ya kukaa na Mungu vizuri au kukaa na shetani.

Kumkataa shetani na kusadiki Mungu mmoja ndiyo ufunguo wa Ubatizo!

02/05/2018 15:38

Baba Mtakatifu Francisko katika tafakari ya Katekesi kwa mahujaji  waliofika kiwanja cha Mtakatifu Petro Vatican tarehe 2 Mei 2018, kwa mada ya Ubatizo,ameelezea tendo linalofanyika katika kisima cha ubatizo.Kukataa shetani na kusadiki Mungu ni funguo za kupokea sakramenti ya ubatizo!

 

 

Papa Francisko anawataka Wakristo kuungana, kushikamana na kushirikiana ili kukabiliana na changamoto mamboleo.

Papa Francisko anawataka Wakristo kuungana, kushikamana na kushirikiana ili kukabiliana na changamoto mamboleo!

Papa Francisko: Wakristo dumisheni ushirikiano na mshikamano

28/04/2018 15:17

Baba Mtakatifu Francisko anasema, Mkutano wa Jukwaa la Tatu la Wakristo Duniani kwa mwaka 2018 imekuwa ni fursa nyingine kwa Wakristo kutoka sehemu mbali mbali za dunia kuweka kuonesha ushirikiano na mshikamano wao, hatua muhimu katika kuzima kiu ya ushuhuda wenye mvuto na mashiko!