Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Sakramenti ya kitubio

Papa Francisko anasema makundi ya sala,wagonjwa wa hospitali,sanduku la maungamo ni mifano mitatu inayo onekana wazi kwa Padre Pio

Papa Francisko anasema makundi ya sala,wagonjwa wa hospitali,sanduku la maungamo ni mifano mitatu inayo onekana wazi kwa Padre Pio

Sala,udogo,hekima ni kitovu cha mahubiri ya Papa huko San Giovanni Rotondo!

17/03/2018 15:04

Papa Francisko wakati wa mahubiri yake huko San Giovanni Rotondo amejikita katika maneno matatu:sala,udogo na hekima.Amehimiza juu ya umuhimu wa kushukuru kama Yesu,kujinyenyekeza kuwa ndogo kwa ajili ya wengine na kuiga hekima ya Padre Pio aliyoichota katika sanduku la maungamo  

 

 

Papa Francisko asema, wema na huruma ya Mungu haina mipaka kwa waja wake!

Papa Francisko asema, wema na huruma ya Mungu kwa waja wake hauna mipaka hata kidogo.

Papa Francisko: Upendo na huruma ya Mungu kwa binadamu haina mipaka!

12/03/2018 11:22

Baba Mtakatifu Francisko anawaalika waamini kujenga utamaduni wa kukimbilia daima kwenye huruma ya Mungu ili kuweza kujipatanisha na Mungu pamoja na jirani zao kwa kutambua kwamba, wema, huruma na msamaha wa Mungu kwa binadamu unavuka hata ubaya na wingi wa dhambi zao!

Katika chumba cha maungamo ni sehemu ya kusikiliza na kukutana na Mungu na si kwenda katika chumba cha maungamo na simu ikiwa imefunguliwa

Katika chumba cha maungamo ni sehemu ya kusikiliza na kukutana na Mungu na si kwenda katika chumba cha maungamo na simu ikiwa imefunguliwa.

Kard.Piacenza:Ni marufuku Mapadre kuchat wakati wa Sakramenti ya Kitubio!

07/03/2018 14:05

Katika maungamo ni sehemu ya kusikiliza na kukutana na Mungu.Siyo mahali pa kwendachumba cha maungamo na simu ikiwa imefunguliwa.Ni tendo baya.Ni marufuku mapadre kutumia simu katika maungamo.Ni kwa mujibu wa Kardinali Piacenza,mhudumu Mkuu wa Idara ya Toba ya kutume

 

 

 

Kalenda ya maelekezo ya maadhimisho ya Papa kwa mwezi Machi na Aprili kutolewa

Kalenda ya maelekezo ya maadhimisho ya Papa kwa mwezi Machi na Aprili kutolewa

Kalenda ya maelekezo ya maadhimisho ya Papa kwa mwezi machi na Aprili 2018!

15/02/2018 16:35

Kwa mujibu wa mwandaaji mkuu wa Liturujia za Vatican,Monsinyo Guido Marini ametoa  Kalenda ya maadhimisho ya Baba Mtakatifu Francisko kwa mwezi Machi na Aprili 2018.Tarehe 9 Machi saa 11 jioni masaa ya Ulaya Baba Mtakatifu ataadhimisha liturujia ya kitubio katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Petro 

 

Simama kidogo juu ya tabia ya kukurupuka, ya kutaka kukagua kila kitu, kujua kila kitu, kutawala kila kitu,kuchunguza kila kitu,ambapo unaishia pabaya

Simama kidogo juu ya tabia ya kukurupuka, ya kutaka kukagua kila kitu, kujua kila kitu, kutawala kila kitu,kuchunguza kila kitu mahali ambapo unaishia kuwa mtupu

Papa:Kipindi cha Kwaresima wamaamini lazima kusimama,kutazama na kurudi!

15/02/2018 15:55

Vishawishi ambayo vinajitokeza ni vingi mno hivyo katika kipindi cha kwaresima ni mwafaka kukabiliana navyo kwani, iwapo tunda la imani ni upendo,tunda la kukata tamaa ni ubaridi na kutovumilia.Waamini wanapaswa kusimama,kutazama na kurudi kwa baba ili mioyo ipate wokovu kwa Mungu

 

Kwa njia ya utii, imani, matumaini na mapendo kutoka kwa B. Maria, ulimwengu umejaliwa kumpata Kristo Yesu mkombozi wa ulimwengu!

Kwa njia ya utii, imani na matumaini ya Bikira Maria, ulimwengu umekirimiwa zawadi ya kuzaliwa kwa Kristo Yesu, Mkombozi wa ulimwengu. Huyu ni Emmanueli, yaani Mungu pamoja na nasi!

Bikira Maria, kielelezo cha usikivu, utii, imani na matumaini!

22/12/2017 09:14

Liturujia ya Neno la Mungu, Jumapili ya IV ya Kipindi cha Majilio inafafanua kwa namna ya pekee nafasi na utume wa Bikira Maria katika Fumbo zima la ukombozi wa mwanadamu kutoka katika lindi la dhambi na mauti! Kwa njia ya usikivu, utii na upendo wa Bikira Maria, Kristo Yesu amezaliwa kati yetu!