Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Sakramenti huruma ya Mungu: Upatanisho & Ekaristi

Wakristo wanapaswa kuwa ni mashuhuda, vyombo na manabii wa huruma ya Mungu katika ulimwengu mamboleo!

Wakristo wanapaswa kuwa ni mashuhuda, vyombo na manabii wa huruma ya Mungu katika ulimwengu mamboleo.

Waamini wanapaswa kuwa ni mashuhuda vyombo na manabii wa huruma!

17/04/2018 09:31

Maadhimisho ya Mwaka Mtakatifu wa Jubilei ya Huruma ya Mungu yamekuwa ni mwaliko kwa waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema kuwa ni mashuhuda, vyombo na manabii wa huruma ya Mungu inayomwilishwa katika uhalisia wa maisha ya watu, kielelezo makini cha imani tendaji!

Huruma ya Mungu ni muhtasari wa historia nzima ya ukombozi

Huruma ya Mungu ni muhtasari wa historia nzima ya ukombozi

Sherehe ya huruma ya Mungu katika maisha ya mwanadamu!

06/04/2018 06:30

Mama Kanisa anawakumbusha waamini kwamba, ni katika Jumapili ya huruma ya Mungu, Kristo Yesu anaweka Sakramenti ya Upatanisho mahali pa kujichotea huruma, upendo na msamaha wa Mungu kama ilivyokuwa kwa Mtume Tomaso baada ya kukutana na Kristo Yesu anaungama imani yake!

Papa Francisko asema: huruma, msamaha na upatanisho ni kati ya mafundisho makuu ya Kristo Yesu kwa wafuasi wake.

Papa Francisko asema: huruma, msamaha na upatanisho ni kati ya mafundisho makuu ya Kristo Yesu kwa wafuasi wake.

Papa Francisko: huruma na msamaha ni mafundisho makuu ya Yesu

18/09/2017 10:09

Baba Mtakatifu Francisko anasema, huruma, msamaha na upatanisho ni kati ya mafundisho makuu ya Yesu yanayopatika kwa muhtasari katika Sala kuu ya Baba Yetu! Huu ni mwaliko kwa wale wote walionja huruma na upendo wa Mungu kuwa ni mashuhuda na vyombo vya huruma ya Mungu kwa jirani zao!

Waamini wanahamasishwa kukimbilia katika Mahakama ya huruma ya Mungu  ili kupata maondoleo ya dhambi, huruma, faraja na mapendo!

Waamini wanahamasishwa kukimbilia kwenye Mahakama ya huruma ya Mungu: inayotakasa, huruma inayofariji, huruma inayosamehe na kupyaisha upya!

Msamaha na upatanisho katika kweli na haki ni chemchemi ya furaha!

16/09/2017 09:23

Huruma na msamaha ni utambulisho wa watoto wa Mungu na ushuhuda wa upendo. Msamaha una nguvu inayoleta uponyaji wa ndani katika maisha ya mwamini. Msamaha humweka mtu huru na kuanza mchakato wa ujenzi wa misingi ya haki, amani, upendo na mshikamano katika ukweli na matumaini!

Sakramenti ya upatanisho ni mahakama ya huruma ya Mungu inayofariji, samahe na kuuhisha!

Sakramenti ya Upatanisho ni mahakama ya huruma ya Mungu inayotakasa, fariji, samahe na kuuisha!

Iweni wakamilifu kama Baba yenu wa mbinguni!

14/09/2017 11:19

Mama Kanisa anafundisha kwamba, huruma, upendo na haki ni fadhila ambazo inapaswa kumiminika kutoka katika kilindi cha moyo wa mwamini, ili hatimaye, kushuhudia: utakatifu, huruma na mapendo kutoka kwa Mwenyezi Mungu yaliyofunuliwa na Kristo Yesu katika ile sala kuu ya Baba Yetu!

 

Upatanisho ni mlango unaomwezesha mwamini kugusa na kuonja huruma ya Mungu katika maisha yake na jirani zake!

Upatanisho ni mlango unaomwezesha mwamini kuonja huruma na upendo wa Mungu katika maisha!

Mchakato wa upatanisho wa upendo na kidugu!

08/09/2017 16:29

Baba Mtakatifu Francisko anasema, upatanisho ni mchakato unaomwezesha mwamini kushinda kishawishi cha ubinafsi na kutaka kujichukulia sheria mkononi kwa kulipiza kisasi. Ni njia ya kuonja tena na tena huruma na upendo wa Mungu katika maisha ya mwanadamu, ili kujenga amani ya kweli!

Ekaristi Takatifu ni chemchemi ya maisha na utume wa Kanisa.

Ekaristi Takatifu ni chemchemi ya maisha na utume wa Kanisa.

Yaliyojiri katika Kongamano la IV la Ekaristi Takatifu Kitaifa Ghana

26/08/2017 10:44

Mababa wa Kanisa wanasema, Ekaristi Takatifu ni chemchemi ya maisha na utume wa Kanisa! Kumbe, waamini wanachangamotishwa kuadhimisha vyema mafumbo ya Kanisa kwa uelewa mpana, uchaji na ibada. Wakuze ndani mwao Ibada ya Kuabudu Ekaristi Takatifu, ili kushuhudia uwepo wa Kristo kati yao!

Mtakatifu Yohane Maria Vianney ni mfano bora wa kuigwa katika maisha, wito na utume wa Kipadre.

Mtakatifu Yohane Maria Vianney ni mfano bora wa kuigwa katika maisha, wito na utume wa Kipadre.

Mtakatifu Yohane Maria Vianney ni "Jembe" la nguvu katika utume!

04/08/2017 15:18

Mtakatifu Yohane Maria Vianney ni kiongozi aliyejisadaka kuwahudumia watu wa Mungu katika maisha na utume wa Kipadre kwa muda wa miaka 40, akawa kweli ni chombo cha huruma na upendo wa Mungu kwa wadhambi waliotubu; alikuwa ni shuhuda na mtangazaji wa Habari Njema ya Wokovu!