Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Rozari ni muhtasari wa historia huruma ya Mungu

Papa Francisko, amekutana na kuzungumza na watoto wanaoishi katika mazingira magumu na hatarishi kwa kukazia elimu na malezi bora!

Papa Francisko amekutana na kuzungumza na watoto wanaoishi katika mazingira magumu na hatarishi kwa kukazia umuhimu wa malezi na elimu kwa makuzi na malezxi ya waoto.

Watoto wanaoishi katika mazingira magumu wakutana na Papa! Yaani...!

11/06/2018 13:50

Baba Mtakatifu Francisko amekutana na kuzungumza na watoto wanaotoka katika mazingira magumu na hatarishi. Amekazia umuhimu wa familia na shule kama vitovu muhimu kwa malezi na makuzi ya watoto. Amewataka watoto kujikita zaidi katika elimu, ili kutumia vyema akili, nyoyo na mikono hayo!

Papa Francisko anawataka waamini kukuza na kudumisha Ibada kwa Bikira Maria, ili waweze kuwa ni vyombo na mashuhuda wa huruma na upendo wa Mungu.

Papa Francisko anawataka waamini kukuza na kudumisha Ibada kwa Bikira Maria ili awasaidie kuwa ni vyombo na mashuhuda wa huruma na upendo wa Mungu kwa jirani zao.

Papa Francisko: Kuzeni na kudumisha Ibada kwa Bikira Maria

09/05/2018 14:49

Baba Mtakatifu Francisko anawaalika waamini na watu wote wenye mapenzi mema kukuza na kudumisha Ibada kwa Bikira Maria Mama wa Mungu na Kanisa, ili aweze kuwasaidia kuwa ni vyombo na mashuhuda wa huruma na upendo wa mungu kwa jirani zao, kielelezo cha imani tendaji!