Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Roho ya kimisionari

Papa Francisko amekutana na wakurugenzi wa shughuli za kimisionari kutokana na fursa ya mkutano wao wa mwaka!

Papa Francisko amekutana na wakurugenzi wa shughuli za kimisionari kutokana na fursa ya mkutano wao wa mwaka!

Papa ahimiza upyaisho kiinjili katika matendo ya kimisionari !

01/06/2018 16:04

Tarehe 1 Juni 2018 Baba Mtakatifu Francisko, amekutana na wakurugenzi wa Shughuli za Kipapa za Kimisionari mjini Vatican na kuwakaribisha kwa furaha katika tukio la Mkutano Mkuu na hasa kushukuru hotuba ya utangulizi wa Kardinali Filoni,Mwenyekiti wa Baraza la Kipapa la Uinjilishaji wa watu 

 

Monsinyo Dario Vigano,Jumapili 25 Februari 2018, asubuhi aliadhimisha misa katika Magereza ya wafubgwa huko Rebibbia Roma

Monsinyo Dario Vigano,Jumapili 25 Februari 2018, asubuhi aliadhimisha misa katika Magereza ya wafubgwa huko Rebibbia Roma

Mons.Vigano':Ameadhimisha misa kwa wafungwa wa Magereza ya Rebibbia Roma!

27/02/2018 13:33

Hata kwa machozi katika macho yenu,mioyo iliyojaa uchungu,salini na kuwashukuru kwa ukaribu wao ambao unawasaidia kushinda uchungu wa upweke.Ni wito wa Mwenyekiti wa Sekretarieti ya Mawasiliano Monsinyo Edoardo Vigano wakati wa misa  katika magereza huko Rebibia 25 Februari. 2018 

 

Ujumbe wa Kwaresima kwa mwaka 2018 kutoka Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania: Uinjilishaji, mwelekeo na hatima ya Tanzania, demokrasia & haki msingi

Ujumbe wa Kwaresima kwa mwaka 2018 kutoka Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania unapembua maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 150 ya Ukristo Tanzania Bara, Miaka 50 ya tamko la Mwelekeo na hatima ya Tanzania pamoja na masuala ya demokrasia na haki msingi za binadamu.

Ujumbe wa Kwaresima 2018 kutoka Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania

11/02/2018 07:55

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania katika ujumbe wake wa Kwaresima kwa Mwaka 2018 linapembua changamoto ya uinjilishaji Tanzania Bara katika kipindi cha miaka 150 na matumaini kwa siku za usoni; mwelekeo na hatima ya Tanzania pamoja na uchaguzi wa serikali za vitaa kwa mwaka 2019.