Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Rohingya

Ni matumaini ya Baba Mtakatifu Francisko kwamba, changamoto ya wakimbizi na wahamiaji wa Rohingya itapewa ufumbuzi wa haki na dumifu!

Ni matumaini ya Baba Mtakatifu Francisko kwamba changamoto ya wakimbizi na wahamiaji wa Rohingya itapewa ufumbuzi wa haki na dumifu.

Changamoto ya wakimbizi wa Rohingya ipate suluhu ya haki na dumifu!

13/02/2018 08:11

Ni matumaini ya Baba Mtakatifu Francisko kwamba, changamoto kubwa ya wakimbizi na wahamiaji wa Rohingya itaweza kupatia ufumbuzi wa haki na dumifu na wadau mbali mbali, ili kulinda na kudumisha utu na heshima ya watu hawa wanaoteseka sana! Shukrani kwa Serikali ya Bangladesh kwa huduma!

Papa Francisko akizungumza na waandishi wa habari katika ndege ya kurudi Roma amesema alilia na watu wa Rohingya

Papa Francisko akizungumza na waandishi wa habari katika ndege ya kurudi Roma amesema alilia na watu wa Rohingya

Papa:Safari yangu inafanikiwa hasa ninapokutana na watu wa Mungu!

04/12/2017 15:00

Safari inafanikiwa hasa ninapoweza kukutana na watu!Ni maneno ya uhakika wa Baba Mtakatifu wakati anazungumza na kujibu maswali ya waandishi wa habari wakati wa kurudi na ndege kutoka Bangladesh kuja Roma.Mkutano wa waandishi wa habari ulianza nusu saa mara baada ya kutoka Dhaka. 

 

Baba Mtakatifu wakati wa Ibada ya Misa takatifu

baba Mtakatifu wakati wa Ibada ya Misa Takatifu kwenye Kikanisa cha Mtakatifu Martha mjini Vatican, anawataka waamini kujiandaa vyema ili kukutana na Muumba wao.

Jifunzeni kuonja mateso na mahangaiko ya watu wakati wa kuagana!

19/05/2015 15:32

Baba Mtakatifu Francisko anawaalika waamini kufanya tafakari ya kina kuhusu siku ile watakapokuwa wanafunga vilago vya maisha yao hapa duniani, tayari kuungana na Mwenyezi Mungu kwenye makao ya uzima wa milele. Yesu aliwaandaa wafuasi wake, Mtakatifu Paulo akaagana na ndugu zake kwa machozi.