Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

RECOWA - CREAO

RECOWA-CERAO: changamoto kubwa: hali tete ya kisiasa; misimamo mikali ya kidini na majanga asilia.

RECOWA-CERAO: changamoto kubwa: hali tete ya kisiasa, kiuchumi na kijamii; misimamo mikali ya kidini na kiimani pamoja na athari za majanga asilia.

RECOWA-CERAO na changamoto zake Afrika Magharibi!

19/04/2017 11:12

Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Katoliki Afrika Magharibi linasema, linapenda kushirikiana kwa dhati na Jumuiya ya Uchumi Afrika Magharibi,ECOWAS ili kukabiliana na changamoto zinazoendelea kujitokeza katika Nchi wanachama wa RECOWA-CERAO hasa: vitendo ya kigaidi na misimamo mikali ya kidini

Familia ya Mungu Barani Afrika haina budi kujikita katika mchakato wa haki, amani na upatanisho!

Familia ya Mungu Barani Afrika haina budi kujikita katika mchakato wa haki, amani na upatanisho Barani Afrika!

Mwaka wa Upatanisho Barani Afrika!

02/05/2016 06:31

Baba Mtakatifu mstaafu Benedikto XVI katika Wosia wake wa kitume, Dhamana ya Afrika anasema, Upatanisho, haki na amani ni mambo makuu matatu ambayo yalipewa kipaumbele cha pekee na Mababa wa Sinodi maalum ya Afrika, changamoto kwa Afrika kuyamwilisha katika maisha na utume wake!

Familia ya Mungu Afrika Magharibi inahamasishwa kudumisha haki, amani na maridhiano kati ya watu!

Familia ya Mungu Afrika Magharibi inahamasishwa kujenga misingi ya haki, amani, upendo na maridhiano kati ya watu.

Familia ya Mungu Afrika Magharibi: Mshikamano, Amani na Familia!

02/03/2016 11:19

Familia ya Mungu Afrika Magharibi haina budi kusimama kidete kulinda na kutetea misingi ya haki, amani upatanisho; kwa kujenga, kudumisha na kushuhudia Injili ya familia kadiri ya mpango wa Mungu sanjari na kuonesha mshikamano wa upendo na wakristo wanaouwawa na kuteseka!