Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Ratiba elekezi

Amani yangu nawapa ndiyo kauli mbiu inayoongoza hija ya Papa Francisko nchini Chile kuanzia tarehe 15- 18 Januari 2018.

Amani yangu nawapa ndiyo kauli mbiu inayoongoza hija ya kitume ya Baba Mtakatifu Francisko nchini Chile kuanzia tarehe 15 - 18 Januari 2018.

Ratiba elekezi ya Baba Mtakatifu Francisko nchini Chile!

12/01/2018 15:06

Amani yangu nawapa ndiyo kauli mbiu iliyochaguliwa na familia ya Mungu nchini Chile wakati wa hija ya kitume ya Baba Mtakatifu Francisko nchini humo kuanzia tarehe 15 hadi tarehe 18 Januari 2018. Baba Mtakatifu atapata nafasi ya kusali, kukutana na kuzungumza na familia ya Mungu nchini Chile.

Sherehe ya Ekaristi Takatifu kuadhimishwa Jumapili kuanzia mwaka 2017.

Sherehe ya Ekaristi Takatifu kuadhimishwa Jumapili kuanzia Mwaka 2017.

Sherehe ya Ekaristi Takatifu kuadhimishwa Jimboni Roma, Jumapili

19/05/2017 09:30

Baba Mtakatifu Francisko ameridhia uamuzi wa kuadhimisha Sherehe ya Ekaristi Takatifu ambayo kadiri ya Mapokeo, imekuwa ikiadhimishwa Alhamisi Jimbo kuu la Roma kuanzia mwaka 2017 itaadhimisha Jumapili, ili kutoa nafasi kwa waamini wengi kushiriki katika kuadhimisha na kushuhudia imani yao!

Fumbo la Pasaka ni kilele cha ufunuo wa huruma ya Mungu kwa binadamu!

Fumbo la Pasaka yaani mateso, kifo na ufufuko wa Kristo ni kilele cha ufunuo wa huruma ya Mungu kwa mwanadamu!

Ratiba elekezi: Fumbo la Pasaka: kiini cha huruma ya Mungu!

10/03/2016 07:20

Monsinyo Guido Marini, Mshereheshaji wa Ibada za Kipapa ametoa ratiba elekezi ya maadhimisho ya Ibada za Juma kuu zinazotarajiwa kuongozwa na Baba Mtakatifu Francisko hasa wakati huu wa maadhimisho ya Mwaka Mtakatifu wa Jubilei ya huruma ya Mungu!

 

Hija ya kitume ya Papa Francisko nchini Bisnia-Erzegovina

Hija ya kitume ya Papa Francisko nchini Bosnia-Erzegovina tarehe 6 Juni 2015.

Yatakayojiri wakati wa hija ya kitume ya Papa Francisko mjini Sarayevo!

04/06/2015 07:59

Baba Mtakatifu Francisko wakati wa hija ya ke ya kitume nchini Bosnia-Erzegovina anatarajiwa kukazia mambo makuu yafuatayo: haki, amani na upatanisho, kama kikolezo kikuu cha maridhiano na maendeleo ya watu: kiroho na kimwili. Hii ni changamoto kubwa kwa wananchi wa Bosnia-Erzegovina.

Ratiba elekezi za Ibada za Papa: Aprili- Juni 2015

Ratiba elekezi za Ibada za Papa Francisko, Aprili- Juni 2015.

Ratiba elekezi ya Papa Francisko kwa mwezi Aprili - Juni 2015

14/04/2015 15:06

Mshereheshaji mkuu wa Ibada za Kipapa Monsinyo Guido Marini kwa idhini ya Baba Mtakatifu amechapisha ibada zinazotarajiwa kuongozwa na Baba Mtakatifu Francisko katika kipindi cha mwezi Aprili hadi Juni 2015.