Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Rais Verònica Michelle Bachelet Jeria

Papa Francisko amewasili tayari nchini Perù kwa ajili ya hija yake ya kitume inayoongozwa na kauli mbiu "Umoja wa Matumaini"

Papa Francisko amewasili tayari mjini Lima, nchini Perù tayari kuanza hija yake ya kitume inayoongozwa na kauli mbiu "Umoja wa matumaini".

Papa Francisko tayari "ametinga timu" nchini Perù kwa kishindo!

19/01/2018 15:16

Baba Mtakatifu Francisko amewasili nchini Perù, Alhamisi tarehe 18 Januari 2018 tayari kuanza hija yake ya kitume inayoongozwa na kauli mbiu "Umoja wa Matumaini". Akiwa njiani kuelekea Jimbo kuu la Lima, Perù, ameishukuru familia ya Mungu nchini Chile kwa mapokezi makubwa waliyompatia!

Amani yangu nawapa ndiyo kauli mbiu inayoongoza hija ya Papa Francisko nchini Chile kuanzia tarehe 15- 18 Januari 2018.

Amani yangu nawapa ndiyo kauli mbiu inayoongoza hija ya kitume ya Baba Mtakatifu Francisko nchini Chile kuanzia tarehe 15 - 18 Januari 2018.

Ratiba elekezi ya Baba Mtakatifu Francisko nchini Chile!

12/01/2018 15:06

Amani yangu nawapa ndiyo kauli mbiu iliyochaguliwa na familia ya Mungu nchini Chile wakati wa hija ya kitume ya Baba Mtakatifu Francisko nchini humo kuanzia tarehe 15 hadi tarehe 18 Januari 2018. Baba Mtakatifu atapata nafasi ya kusali, kukutana na kuzungumza na familia ya Mungu nchini Chile.