Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Rais Michel Miguel Elias Temer

Papa Francisko anasema hija yake Amerika ya Kusini inapania kuimarisha maisha na utume wa Kanisa mahalia pamoja na kutangaza Injili ya matumaini.

Papa Francisko anasema hija yake ya kitume Amerika ya Kusini inapania kuimarisha maisha na utume wa Kanisa mahali sanjari na kutangaza Injili ya matumaini.

Hija ya Kitume Amerika ya Kusini inapania kuimarisha Kanisa mahalia!

15/01/2018 13:30

Baba Mtakatifu Francisko anasema, lengo kuu la hija yake ya ishirini na mbili ya kimataifa huko Amerika ya Kusini ni kuimarisha maisha na utume wa Kanisa mahalia pamoja na kuwatangazia na kuwashuhudia watu wa Mungu ujumbe wa matumaini yanayobubujika kutoka kwa Kristo Yesu na Kanisa lake!