Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Rais Kim Jong Un

Maskofu wa Korea watoa sala kwa ajili ya nchi yao katika kipindi cha kihistoria,

Maskofu wa Korea watoa sala kwa ajili ya nchi yao katika kipindi cha kihistoria,

Kanisa la Korea kusali Novena kwa nchi yao katika kipindi katika kihistoria!

12/06/2018 16:47

Baraza la Maaskofu nchini Korea wameandaa Novena kwa ajili ya nchi zote mbili, kuombea amani na mkutano wa mapatano, Ni kufuatia  fursa ya wakati huu ambayo nchi hizi mbili wanakabiliana katika kufungua ukurasa mpya wa kihistoria zaidi mkutano wa Trump na Kim, 12 Juni 2018 huko Singapore!

 

 

Papa Francisko anaunga mkono mchakato wa majadiliano kati ya viongozi wa Korea ya Kusini na Kaskazini katika kujenga umoja, udugu na urafiki.

Papa Francisko anaunga mkono mchakato wa majadiliano kati ya Korea ya Kaskazini na Korea ya Kusini yanayopania kujenga na kudumisha: umoja, udugu na urafiki.

Papa Francisko aunga mkono juhudi za Korea kukutana na kujadiliana!

25/04/2018 15:21

Baba Mtakatifu Francisko anapongeza mchakato mzima wa juhudi za kutaka kuwakutanisha viongozi wa Korea ya Kaskazini na Korea ya Kusini kama sehemu muhimu sana ya juhudi za upatanisho, umoja, haki na ujenzi wa udugu na urafiki! Kanisa linaunga mkono juhudi hizi kwa hali na mali!