Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Rais John Pombe Magufuli

Askofu Beatus Christian Urassa amewekwa wakfu na kusimikwa kuwa Askofu wa Jimbo Katoliki Sumbawanga.

Askofu Beatus Urassa amewekwa wakfu na kusimikwa kuwa Askofu mpya wa Jimbo Katoliki Sumbawanga.

Yaliyojiri S'wanga wakati wa kuwekwa wakfu na kusimikwa Askofu Urassa

25/06/2018 14:30

Askofu anayo dhamana na wajibu wa kufundisha, kuongoza na kuwatakatifuza watu wa Mungu aliokabidhiwa kwake na Kanisa kwa kutambua kwamba, huu ni mwendelezo wa historia ya huruma na upendo wa Mungu unaopata chimbuko lake katika Daraja Takatifu ya Upadre! Wosia kwa Askofu Urassa!

Rais John Magufuli amesema, Serikali ya Tanzania imeamua kuwekeza fedha nyingi katika miradi ya maendeleo.

Rais John Magufuli amesema, Serikali ya awamu ya tano imeamua kuwekeza zaidi katika miradi mikubwa ya maendeleo ili kukuza uchumi.

Rais Mafuguli atema cheche! Miradi ya maendeleo kupewa kipaumbele!

02/05/2018 11:03

Katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani, Mei Mosi, 2018, ambayo imefanyika kitaifa imeadhimisha mjini Iringa, Rais John Pombe Magufuli amesema, Serikali ya awamu ya tano imeamua kuwekeza fedha nyingi katika miradi mikubwa ya maendeleo ili kuchochea kasi ya ukuaji wa kiuchumi.

Watanzania wanapaswa kujenga na kudumisha: Hekima, Umoja na Amani nguzo za taifa!

Watanzania wanapaswa kujenga na kudumisha: Hekima, Umoja na Amani nguzo za taifa.

Yaliyojiri Askofu mkuu Isaac Amani Massawe aliposimikwa Arusha

14/04/2018 16:50

Maadhimisho ya Ibada ya Masifu ya Jioni, Jumapili ya Huruma ya Mungu na hatimaye, Ibada ya Misa Takatifu kwa ajili ya kumsimika Askofu Mkuu Isaac Amani Massawe wa Jimbo kuu la Arusha yalisheheni utajiri wa busara na hekima zilizotolewa na wahusika mbali mbali katika tukio hili la kihistoria!

Serikali ya awamu ya tano nchini Tanzania inaendelea kuimarisha uchumi unaotegemea viwanda. Hadi sasa kuna viwanda vipya 3, 306.

Serikali ya awamu ya tano chini ya Rais John Pombe Magufuli inaendelea kuimarisha uchumi wa viwanda hadi kufikia Februari 2018 viwanda vipya 3, 306 vimeanzishwa.

Waziri Mkuu wa Tanzania: Viwanda 3, 306 vimeanzishwa Tanzania

05/04/2018 15:46

Serikali ya Tanzania nchini ya Rais John Pombe Magufuli inaendelea kutekeleza kauli mbiu yake ya kujenga uchumi unaotegemea viwanda na kwamba hadi kufikia Februari 2018 viwanda vipya 3, 306 vimeanzishwa nchini Tanzania. Sasa Serikali inaendelea kuboresha miundo mbinu ya barabara na umeme!

 

Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa anawataka viongozi wa dini nchini humo kusimama kidete kulinda na kudumisha haki, amani na maridhiano!

Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa anawataka viongozi wa kidini kujizatiti katika kulinda, kutetea na kudumisha haki, amani na maridhiano kati ya watanzania.

Viongozi wa kidini piganieni na kulinda haki na amani Tanzania!

03/04/2018 10:47

Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa amewataka viongozi wa dini nchini Tanzania kusimama kidete kulinda, kutetea na kudumisha haki na amani nchini Tanzania sanjari na kupambana na viashiria vya uvunjifu wa amani! Ameyasema haya wakati akizungumza kwenye Mkutano Mkuu wa BAKWATA, Dodoma.

 

Dkt. Adelardus Kilangi ameteuliwa kuwa Mwanasheria mkuu wa Tanzania kuanzia tarehe 1 februari 2018.

Dkt. Adelardus Kilangi ameteuliwa na Rais John Pombe Magufuli kuwa Mwanasheria mkuu wa Tanzania kuanzia tarehe 1 Februari 2018.

Dkt. Adelardus Kilangi ateuliwa kuwa Mwanasheria mkuu wa Tanzania

02/02/2018 16:10

Dkt. Adelardus Kilangi aliyekuwa Mkurugenzi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino cha Tanzania, SAUT, Kituo cha Arusha na Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Shughuli za Mkondo wa Juu wa Mafuta, PURA ameteuliwa na Rais John Magufuli kuwa Mwanasheria mkuu wa Tanzania.

 

Serikali Awamu ya Tano fchini ya Rais Magufuli yabainisha mafanikio yaliyokwisha kupatikana!

Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais John Pombe Magufuli yabainisha mafanikio yaliyokwisha kupatikana tangu mwaka 2015 hadi Novemba 2017.

Mafanikio yaliyopatikana hadi sasa chini ya Rais John Magufuli

18/12/2017 14:26

Tangu rasi John Pombe Magufuli aingie madarakani kumekuwepo na mafanikio makubwa katika masuala ya kiuchumi, ujenzi na uchukuzi, nishati, mawasiliano; huduma ya za afya, elimu, sayansi na teknolojia; uimarishaji wa Muungano; Utawala bora na demokrasia pamoja na kuhamia Dodoma!

 

Askofu Shao wa Jimbo Katoliki Zanzibar anawahimiza watanzania kumuunga mkono Rais Magufuli katika juhudi zake za kupambana na rushwa na ufisadi.

Askofu Shao wa Jimbo Katoliki Zanzibar anawahimiza watanzania kumuunga mkono Rais Magufuli katika jitihada zake za kupambana na rushwa, ufisadi, kwa kulinda rasilimali ya nchi kwa ajili ya ustawi, maendeleo na mafao ya wengi.

Askofu Shao: Watanzania ungeni mkono juhudi za Rais Magufuli!

16/10/2017 08:52

Hatua zinazochukuliwa kwa wakati huu na Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania katika kupambana na: rushwa na ufisadi wa mali ya umma; kulinda na kusimamia rasilimali ya nchi ili iweze kuleta mafao, ustawi na maendeleo ya wengi ni mambo msingi yanayopaswa kuungwa mkono na watanzania wote!