Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Rais George Weah, Liberia

Askofu Borwah ameelezea kuwa mpango wa nchi ya Liberia kwa upande wa Rais ni mzuri maana inakwenda sambamba na mafundisho jamii ya Kanisa

Askofu Borwah ameelezea kuwa mpango wa nchi ya Liberia kwa upande wa Rais ni mzuri maana inakwenda sambamba na mafundisho jamii ya Kanisa kutoa kipaumbe cha maskini.Watu wavumilie na kumpa muda

Askofu Borwah wa Liberia:Zipo changamoto za nchi lakini inahitajika muda!

07/06/2018 14:45

Rais mpya George Weah alichanguliwa na vijana waliokuwa wanahisi kubaguliwa na kuwekwa pembezoni mwa jamii na viongozi wa taifa, hivyo watu wawe na uvumilivu katika changamoto nyingi. Amesema hayo Askofu Mkuu Anthony Fallah Borwah,na Mwenyekiti wa Baraza la Maaskofu Liberia 

 

 

Umoja wa Afrika umetangaza kwamba, Mwaka 2018 ni mwaka wa mapambano dhidi ya saratani ya rushwa!

Umoja wa Afrika umetangaza kwamba, mwaka 2018 ni mwaka wa mapambano dhidi ya saratani ya rushwa inayohatarisha ustawi, maendeleo na mafao ya wengi.

Umoja wa Afrika: Mwaka 2018 ni Mwaka wa Mapambano dhidi ya rushwa!

31/01/2018 09:00

Umoja wa Afrika umeamua kujizatiti zaidi katika mapambano dhidi ya saratani ya rushwa na ufisadi wa mali ya umma unaokwangua kiasi cha dolla za kimarekani bilioni 50 ambazo zingeweza kusaidia mchakato wa ustawi, maendeleo na mafao ya wananchi wengi Barani Afrika! Rushwa ni adui wa haki!