Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Rais Donald Trump wa Marekani

MS. Callista L. Gingrich ameteuliwa kuwa Balozi wa USA mjini Vatican

MS. Callista L. Gingrich ameteuliwa kuwa Balozi wa USA mjini Vatican.

Calissita L. Giungrich ameteuliwa kuwa Balozi wa USA mjini Vatican

17/10/2017 16:08

MS. Calissita L. Giungrich amethibitishiwa uteuzi wake na Senate ya Marekani kuwa ni Balozi wa Marekani mjini Vatican. Balozi mteule ataanza kutekeleza shughuli na utume wake mara baada ya kuwasilisha hati za utambulisho kwa viongozi wakuu wa Vatican akiwemo Baba Mtakatifu Francisko.

 

Siku ya maombi ya kitaifa kwa ajili ya amani Marekani ina lengo la kupambana na dhambi kubwa ya ubaguzi wa rangi katika jumuiya za Marekani.

Siku ya maombi ya kitaifa kwa ajili ya amani Marekani ina lengo la kupambana na dhambi kubwa ya ubaguzi wa rangi katika jumuiya za Marekani.

Marekani: Siku ya sala ya amani Kitaifa katika kupambana na ubaguzi

09/09/2017 10:06

Nchini Marekani tarehe 9 Septemba ni Siku ya kuombea amani Kitaifa.Lengo kubwa la kuanzisha maombi hayo ni kutokana na kutaka kupambana na dhambi kubwa ya ubaguzi wa rangi katika jumuiya za Marekani.Siku ya maombi kitaifa ilianzishwa mwaka jana na aliyekuwa Askofu Mkuu Joseph  Kurtz

 

Papa Francisko akiwa njiani kuelekea Colombia ametuma salam na matashi mema kwa viongozi wakuu wa nchi alimopitia!

Papa Francisko akiwa njiani kuelekea nchini Colombia ametuma salam na matashi mema kwa wakuu wa nchi alimopitia.

Papa Francisko atuma salam na matashi mema kwa viongozi wakuu wa nchi

06/09/2017 14:26

Baba Mtakatifu Francisko katika hija yake ya kitume kuelekea nchini Colombia Jumatano tarehe 6 Septemba 2017 ametuma sala na matashi mema kwa viongozi wakuu wa nchi akiwatakia heri, baraka, ustawi, maendeleo na amani! Kwa namna ya pekee amewakumbuka wananchi wa Venezuela!

Kardinali Pietro Parolin anasema, Kanisa linapenda kuhimiza mchakato wa majadiliano ya kidini, kiekumene na kisiasa kwa ajili ya ustawi na maendeleo!

Kardinali Pietro Parolin anasema, Kanisa linapenda kuhumiza mchakato wa majadiliano ya kidini, kiekumene na kisiasa kwa ajili ya ustawi, maendeleo na mafao ya wengi.

Kardinali Pietro Parolin yuko nchini Russia kikazi! Mapambazuko mapya

21/08/2017 08:59

Kardinali Pietro Parolin, Katibu mkuu wa Vatican kuanzia tarehe 20 hadi 24 Agosti 2017 yuko katika safari ya kikazi nchini Russia ili kukuza na kudumisha mchakato wa majadiliano ya kidini, kisiasa na kiekumene pamoja na kujitahidi kujenga madaraja ya watu kukutana na kusaidiana kwa hali na mali!

Diplomasia ya Kanisa inajikita katika misingi ya haki, amani, ustawi, mafao na maendeleo ya wengi!

Diplomasia ya Kanisa inajikita katika misingi ya haki, amani, ustawi, maendeleo na mafao ya wengi.

Diplomasia ya Kanisa inajikita katika amani, ustawi na mafao ya wengi

28/07/2017 14:55

Kardinali Pietro Parolin, Katibu mkuu wa Vatican anasema, diplomasia ya Kanisa inajikita katika misingi ya haki, amani, maridhiano, ustawi, maendeleo na mafao ya wengi. Kanisa linataka kujenga na kudumisha majadiliano katika ukweli na uwazi ili kukuza uhuru wa kuabudu na tunu msingi za maisha!

Jumuiya ya Kimataifa haina budi kushikamana ili kulinda, kutunza na kudumisha mazingira nyumba ya wote!

Jumuiya ya Kimataifa haina budi kushikamana ili kulinda, kutunza na kudumisha mazingira nyumba ya wote.

Simameni kidete kulinda na kutunza mazingira nyumba ya wote!

17/07/2017 10:39

Jumuiya ya Kimataifa haina budi kushikamana katika kupambana na changamoto zinazoendelea kujitokeza kutokana na uchafuzi wa mazingira duniani. Baa la njaa ya kutisha na utapiamlo; ukame na mafuriko; magonjwa ya milipuko; wimbi kubwa la wakimbizi pamoja na wahamiaji duniani!

Uamuzi wa Rais Trump wa Marekani kuondoa Marekani katika utekelezaji wa Itifaki ya Paris, umeshutumiwa na wengi!

Uamuzi wa Rais Donald Trump wa Marekani wa kuiondoa Marekani katika utekelezaji wa Itifaki ya Paris juu ya utunzaji bora wa mazingira nyumba ya wote umeshutumiwa na wengi duniani.

Siku ya Mazingira Duniani kwa Mwaka 2017 imetiwa mchanga!

05/06/2017 15:29

Viongozi mbali mbali wa Jumuiya ya Kimataifa pamoja na viongozi wa kidini, wamesikitishwa sana na uamuzi wa Rais Donald Trump wa Marekani kujiondoa kwenye mchakato wa utekelezaji wa Itifaki ya Paris juu ya utunzaji bora wa mazingira nyumba ya wote, kwani madhara yake ni makubwa sana!

 

Papa Francisko amekutana na kuzungmza na rais Donald Trump wa Marekani mjini Vatican tarehe 24 Mei 2017

Papa Francisko amekutana na kuzungumza na Rais Donald Trump wa Marekani tarehe 24 Mei 2017.

Rais Donald Trump akutana uso kwa uso na Papa Francisko!

24/05/2017 14:04

Baba Mtakatifu Francisko amemzawadia Rais Donald Trump wa Marekani Nyaraka zake za kitume: Furaha ya upendo ndani ya familia; Furaha ya Injili na Sifa iwe kwako juu ya utunzaji wa nyumba ya wote pamoja na medali ya tawi la mzeituni, linalomkumbusha dhamana ya amani duniani!