Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Prof. Guzman Carriquiri

Mwanaume na mwanamke wameumbwa kwa sura na mfano wa Mungu na wanakamilisha katika maisha na wito wao!

Mwanaume na mwanamke wameumbwa kwa sura na mfano wa Mungu na wanakamilishana katika maisha na wito wao kwa kukuza na kudumisha tunu msingi za maisha ya ndoa na familia.

Mwanaume na mwanamke wanakamilishana kama sura na mfano wa Mungu

12/03/2018 12:15

Kardinali Marc Ouellet anasema, mwanaume na mwanamke kadiri ya mpango wa Mungu wameumbwa kwa sura na mfano wa Mungu ili kukamilishana. Kwa pamoja wanawajibika kukuza na kudumisha tunu msingi za maisha ya ndoa na familia ambazo kwa sasa zinakabiliwa na changamoto kubwa duniani!

Wanawake Amerika ya Kusini ni majembe ya nguvu katika ujenzi wa Kanisa na Jamii katika ujumla wake, lakini wanakabiliwa na changamoto nyingi!

Wanawake Amerika ya Kusini ni majembe ya nguvu katika ujenzi wa Kanisa na Jamii katika ujumla wake, lakini wanakabiliwa na changamoto pevu katika utekelezaji wa dhamana na majukumu yao ya kila siku!

Wanawake ni majembe ya nguvu katika ujenzi wa Kanisa Amerika ya Kusini

05/03/2018 07:00

Dhamana, wajibu, changamoto na matatizo wanayokabiliana nayo wanawake Amerika ya Kusini ndicho kiini cha mkutano wa Tume ya Kipapa kwa ajili ya Amerika ya Kusini inayoanza kikao chake mjini Vatican kuanzia tarehe 6-9 Machi 2018 kwa kuwashirikisha wanawake ili kujadili mustakabali wao!

Baba Mtakatifu Francisko, Jumatano tarehe 13 Julai 2016 amewatembelea wajumbe wa Tume ya Kipapa kwa ajili ya Amerika ya Kusini.

Baba Mtakatifu Francisko, Jumatano tarehe 13 Julai 2016 amewatembelea wajumbe wa Tume ya Kipapa kwa ajili ya Amerika ya Kusini.

Tuko mikononi mwa Mungu, mlinzi mkuu!

14/07/2016 14:24

Baba Mtakatifu Francisko, Jumatano tarehe 13 Julai 2016 amewatembelea na kuzungumza na wajumbe wa Tume ya Kipapa kwa ajili ya Amerika ya Kusini inayojiandaa kwa ajili ya maadhimisho ya Mwaka Mtakatifu wa Jubilei ya huruma ya Mungu huko Bogotà. 

 

Baba Mtakatifu Francisko analitaka Kanisa kutangaza Injili ya furaha

Baba Mtakatifu Francisko katika hija yake ya kitume Amerika ya Kusini analitaka Kanisa kutangaza Injili ya Furaha na kushuhudia huduma ya upendo kwa maskini.

Kanisa Amerika ya Kusini linataka kujikita katika mchakato wa Umissionari!

07/07/2015 11:00

Baba Mtakatifu Francisko katika hija yake ya kitume Amerika ya Kusini anaendelea kuhimiza umuhimu wa waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema kuheshimu na kuthamini tofauti zinazojitokeza kati ya watu; kukuza na kudumisha majadiliano pamoja na kuwa na sera shirikishi. kwa wote.