Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Patriaki Bèchara Boutros Rai

Wakuu wa Makanisa ya Kikristo na Jumuiya za Kikristo kuhudhuria Siku ya Sala ya Kiekumene, Bari, tarehe 7 Julai 2018.

Wakuu wa Makanisa ya Kikristo na Jumuiya za Kikristo wanatarajiwa kushiriki kwa wingi katika Siku ya Kiekumene kwa ajili ya kuombea Mashariki ya Kati.

Viongozi wakuu wa Makanisa watakaoshiriki Siku ya Sala ya Kiekumene

04/07/2018 16:04

Baraza la Kipapa kwa ajili ya Makanisa ya Mashariki limetoa orodha ya viongozi wakuu wa Makanisa na Jumuiya za Kikristo watakaoshiriki katika Siku ya Kuombea Amani na Umoja huko Mashariki ya Kati, huko Bari, Kusini mwa Italia, tarehe 7 Julai 2018 kwa ushiriki mkamilifu wa Papa Francisko!

Kardinali Bechara Rais anaitaka Jumuiya ya Kimataifa kufutilia mbali wazo la vita na kuanza kujenga utamaduni wa amani huko Mashariki ya kati.

Kardinali Bechara Rai anaitaka Jumuiya ya Kimataifa kufutilia mbali dhana ya vita na kuanza kujikita katika mchakato wa majadiliano na amani huko Mashariki ya kati.

Kardinali Rai: futilieni mbali vita; jengeni utamaduni wa amani!

14/04/2018 15:46

Kardinali Bechara Boutros Rai Patriaki wa Kanisa la Wamaroniti Wakatoliki kutoka Lebanon anaitaka Jumuiya ya Kimataifa kusikiliza kilio cha wananchi wa Mashariki ya Kati wanaoteseka kutoka na vita, ili kufutilia mbali dhana ya vita na kuanza kujenga utamaduni wa amani ya kudumu na mshikamano.

Tarehe 31 Julai 2017 ni Siku ya Mashahidi wa Imani kwa Makanisa ya Mashariki

Tarehe 31 Julai 2017 ni Siku ya Mashahidi wa Imani kwa Makanisa ya Mashariki, kumbu kumbu endelevu ya Mwaka wa Mashahidi wa Imani kwa Makanisa ya Mashariki.

31 Julai 2017 Siku ya Mashahidi na Wafiadini wa Makanisa ya Mashariki

31/07/2017 10:05

Waamini wa Makanisa ya Mashariki kuanzia sasa kila mwaka ifikapo tarehe 31 Julai watakuwa wanaadhimisha Siku ya Mashahidi wa Imani kwa Makanisa ya Mashariki, kama sehemu ya kumbu kumbu endelevu ya maadhimisho ya Mwaka wa mashahidi wa imani na wafiadini kutoka Makanisa ya Mashariki.