Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Pasaka ya Kiorthodox

Makanisa mapya nchini Msri kupata kibali cha sheria ili kuendelea na huduma yake

Makanisa mapya nchini Msri kupata kibali cha sheria ili kuendelea na huduma yake

Hatimaye makanisa mapya 166 yapata kibali cha sheria kuanza huduma yake!

27/04/2018 15:19

Kwa mujibu wa mapendekezo ya Tume,Baraza la Mawaziri nchini  Misri wamekubali hivi karibuni kutoa kibali cha  sheria ya utambuzi wa makanisa 166 na majengo mengine ya Kanisa yaliyotawanyika katika maeneo ya nchi.Aidha Waziri Mkuu wa nchi na Ujenzi wametoa ahadi ili mchakato huo ufanikiwe!

 

 

Askofu Mkuu wa Kiorthodox Gennadios Zervos anawatakia matashi mema ya Pasaka waamini wote wa Kiorthodox

Askofu Mkuu wa Kiorthodox Gennadios Zervos anawatakia matashi mema ya Pasaka waamini wote wa Kiorthodox

Pasaka ya Kiorthodox imeadhimishwa tarehe 8 Aprili 2018 !

09/04/2018 15:45

Wakati Kanisa Katoliki limeadhimisha Pasaka tarehe 1 Aprili,baadhi ya nchi za Ulaya Mashariki,Ugiriki,Urusi,Romania,Serbia;Burgaria,Masedonia,Ukrainana nchi za Masharika Pasaka ya Kiorthodox ilikuwa ni tarehe 8 Aprili 2108.kwa Mujibu wa Askofu Mkuu Gnennadios:Upendo na umoja vinatawala!